Wakulima Wa Tz.

Wakulima Wa Tz.

masterjuly77

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2009
Posts
221
Reaction score
173
Eti tunaambiwa "85% ya Watanzania ni wakulima", Na wakati huo huo wakulima walio wengi wanaomba misaada ya chakula kilia mwaka, angalau, Tatizo linakuwa nini? Kiwanda cha Mbolea Kiko Kimoja tu Nchi nzima, unategemea efanisi utakuwepo? Usambazaji Nchi nzima utawezekana, kwa wakati? Hapa Tunadanganyana mchana kweupe. Halafu Mkakati/ sera ya serikali ni Kilimo kwanza!!!!!!!

Watanzania, hapo tupo sawa kweli?
 
Back
Top Bottom