Msaada jaman

Msaada jaman

PRECIOUSNESS

Member
Joined
Apr 10, 2013
Posts
54
Reaction score
13
Mm nimehitim degree ya uhasibu mwaka 2012, hivo mpaka sasa nko tu mtaan natafuta ajira, naomba yeyote mwenye uwezo wa kunisaidia hata kuvolunteer tu ili nipate uzoefu.Nina upper second class pia nimuelewa haraka nikifundishwa kazi na pia nabadilika kutokana na mazingira.msaada wenu wana jf utakuwa wa maana sana kwangu.naishi dar es salaam.

asanten sana.
 
tace care na wana JF coz baadhi ni waznguaj ila wapo wa kweli pia so unaweza pata msaada usogope, then tuma aplication zaka TPA wametangaza nafasi juzi tu, kama vp ni PM naweza kukusaidia zaid
 
Back
Top Bottom