Neema kwa waliofeli form 4:..marks zao zitapangwa upya

Neema kwa waliofeli form 4:..marks zao zitapangwa upya

Wapange tu upya matokeo ,lakn mwakan watarudia kufanya mitihani hadi heshima ya mwl ipatikane
 
Unajuwa jamaa waliunda tume ili ije na mapendekezo tofauti ili kuwahadaa wananchi, ila kwa uongo huu kwamba eti gredi zilipangwa vibaya wamejimaliza. Aahh Lukuviiiiiiiiiiii, ah Pindaaaaaaaaaa, aha Kikweteeeeeeeeeeee ........endeleeni kutuaibisha ila mjue tu zemarcopolo,sumu na wengine wanawapigania huku JF kwa ile ile buku saba ya lumumba
 
sasa na WALIOFAULU si kizaazaa hicho, hivi si wanaweza hata kusababwatu matatizo ya kisaikolojia
 
Na wale waliojiuwa kwa uzembe huu wa serikali dhaifu kuwafelisha ni vipi?
 
hii aibu sasa kwa serikali yetu, haya mambo ya kitoto sana...
 
kama imewezekana katika elimu basi inawezekana katika sehemu nyenginezo sasa je Madoctor nao wakipanga vibaya matibabu kwa wagonjwa?
 
VIONGOZI WA TZ, aibu yenu aibu yetu?! hii records tutazitunza mpaka vilembwe vyenu zione unganga mnaoufanya kwenye elimu yetu. sasa sijui huyo aliyeandika matusi akapata zero sasa hivi atapata div.II ya ngapi? Mnamuweka kawambwa elimu mnategemea nini? yaani elimu ya tz viongozi wameichezea na sasa imekuwa kama dangula la kwa mama cheni!
 
na aliyechora zombie lili somo atapewa grade gani? au lilikuwa somo la uchoraji?
 
Mrushindwa kurudia kugrade tangu 2008,watu wamefeli hivyo,,leo wamewachorea mazombee,ndio mnashtuka,,wake up goverment,,achen utan na sekta ya elimu,,,dats what holds,,tanzanian,omega,,
 
hapo kitakachofuata,wenye div 4 wote watapewa div 3,na weny div 3 watapewa div 2,waliofaulu san watabak hivyo2,na wenye zero watapewa 4......hawa ndo madaktari na mainjinia, wajao!! Halafu majengo yakianguka mnashangaa
 
inasikitisha sana hasa pale siasa inapobaka Elimu hii yote inafanywa kwa manufaa yakisiasa ,hakuna aliyefelishwa i swear
 
Back
Top Bottom