Natafuta part time ya kufundisha masomo ya sayance/computer

Natafuta part time ya kufundisha masomo ya sayance/computer

ikamba1

Senior Member
Joined
Mar 15, 2013
Posts
100
Reaction score
26
Habari waungwana,natafuta part time kwa KUFUNDISHA masomo ya sayansi au computer courses,yeyote mwenye uhitaji/connection/ANAYEHITAJI TUFUNGUE KITUO naomba ani PM ili tufanye kazi,nina degree ya IT
nipo dar es salaam.
 
kaka kwa nini usianzie tu kituo. kuna wanafunzi wengi sana wanahitaji kusoma hasa masomo ya sayansi. so you are lucky
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom