20,000 apply for 1200 new govt jobs...

20,000 apply for 1200 new govt jobs...

nngu007

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2010
Posts
15,860
Reaction score
5,803
By By Henry Mwangonde, The Citizen (email the author)

Posted Saturday, May 4 2013 at 12:23

IN SUMMARY

  • An overwhelming majority want to work in education at both Arusha Teachers College and Mbeya University of Science and Technology (Must) and at the College of Business Education (CBE).

Dar es Salaam. A total of 20,763 applicants have sent their applications for jobs in the government through the public service secretariat in the President's Office.

Deputy secretary of the secretariat Lucas Mrumapili said his office was in the process of going through the applications.

He noted that the names of selected candidates would soon be posted on the government's website for interviews starting May 13, this year.

Mrumapili said vacancies advertised in English which had 185 posts included the National Audit Office (NAO), Mzumbe University (MU) and Local Government Training Institute (LGTI).

Others are the National chemists office (GCLA), Ocean Road Cancer Institute (ORCI),Tanzania Food and Drugs Agency (TFDA) and Tanzania Food and Nutrition Commission (TFNC).

Candidates are also interested in working for the Tanzania Forest Research Institute (TAFORI),Tanzania Wildlife Research Institute (TAWILI) and Tanzania Education Authority(TEA).

An overwhelming majority want to work in education at both Arusha Teachers College and Mbeya University of Science and Technology (Must) and at the College of Business Education (CBE).

A portion of the 185 job openings are at the Tanzania Industrial Research and Development Organisation(TIRDO) and at the severely underserviced Office of the Attorney General(AG).

Vacancies advertised in kiswahili, which had 949 posts, were from the offices of permanent secretaries in different ministries, regional commissioners and local administration at district level.
 
Kwanini Tusivichukue VIWANDA VYETU VYA TEXTILES DAR na KUVIFUFUA? hapo kuna KAZI SKILLED na UNSKILLED kiasi cha 50,000 na unajua siku hizi Wabongo na VITENGE na KHANGA - Mashati ya VITENGE na KHANGA hadi ULAYA na AMERICA na SISI ni LABOR Intensive sio Mashine... Tungekuwa MBALI haswa... Pamba ya kwetu... Umeme unakuwa wa KWETU - GAS au COAL... Cheap LABOR ya KWETU... na MARKET ni hapa hapa kwetu...

Embu Angalia watu 20,000 na wana Qualification - Kazi ni 1,200 Jamani ndio hapo sasa tunaanza kuchambuana kidini; kikabila na kuangaliana mara mbili mbili... UCHUMI jamani
 
kuna reli ya tanga,arusha vikianzishwa hatutokosa kazi!
 
haki mama yesu na maria 20elf wanatakiwa 1200 inamana km 18800 2mechezea hela ye2 kwaku2ma mawee chongaiwe tz inatsha jaman
 
Kwanini Tusivichukue VIWANDA VYETU VYA TEXTILES DAR na KUVIFUFUA? hapo kuna KAZI SKILLED na UNSKILLED kiasi cha 50,000 na unajua siku hizi Wabongo na VITENGE na KHANGA - Mashati ya VITENGE na KHANGA hadi ULAYA na AMERICA na SISI ni LABOR Intensive sio Mashine... Tungekuwa MBALI haswa... Pamba ya kwetu... Umeme unakuwa wa KWETU - GAS au COAL... Cheap LABOR ya KWETU... na MARKET ni hapa hapa kwetu...

Embu Angalia watu 20,000 na wana Qualification - Kazi ni 1,200 Jamani ndio hapo sasa tunaanza kuchambuana kidini; kikabila na kuangaliana mara mbili mbili... UCHUMI jamani

Kweeli kabisa mkuu kuna namna nyingi sana ya kuweka kazi nyingi, sema serikali yetu washauri wao sijui wana akili za namna gani, kama hivyo wengi wana vyeti ila kazi chache
 
Kwanini Tusivichukue VIWANDA VYETU VYA TEXTILES DAR na KUVIFUFUA? hapo kuna KAZI SKILLED na UNSKILLED kiasi cha 50,000 na unajua siku hizi Wabongo na VITENGE na KHANGA - Mashati ya VITENGE na KHANGA hadi ULAYA na AMERICA na SISI ni LABOR Intensive sio Mashine... Tungekuwa MBALI haswa... Pamba ya kwetu... Umeme unakuwa wa KWETU - GAS au COAL... Cheap LABOR ya KWETU... na MARKET ni hapa hapa kwetu...

Embu Angalia watu 20,000 na wana Qualification - Kazi ni 1,200 Jamani ndio hapo sasa tunaanza kuchambuana kidini; kikabila na kuangaliana mara mbili mbili... UCHUMI jamani

Bwana wewe hawa wakishashiba hawakumbuki mtu.. Kuna wajinga walikuwa wanatetea wahindi kuja kuajiriwa hapa nchini na juzi bungeni nimeona waziri husika akiwaalika wakenye kuja nchini kufanya kazi... Watoto wa wakubwa wana visa kweli .. Wamekulia swrikalini hado nao wameukwaa uongozi .. Hawaijui shida ni nini
 
kuna reli ya tanga,arusha vikianzishwa hatutokosa kazi!
Bwana wewe .. Watu wapo maofisini wanakula mishahara hio reli nani aiwaze? Wahindi ?
Wahindi wanakuja kukamata private sekta.. Kwao wPo wengi sana hawana ajira kwao.
 
Naibu Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Bw. Lucas Mrumapili amesema ofisi yake imepokea jumla ya barua za maombi ya kazi 20,763 ambazo mchanganuo wake kwa tangazo la Kiingereza imepokea barua za maombi 6,332 na kwa tangazo la Kiswahili imepokeabarua za maombi 14,431 ambapo Ofisi yake iko katika hatua za mwisho za kukamilisha uchambuzi wa maombi hayo ili kuweza kuendelea na zoezi la usaili.




huku kukiwa na nafasi 1200 tu za kazi
 
Hivi hawa jamaa huwa kweli wanashortlist watu wa kuwaita kwenye interview ama wewe ukiaply tu unaitwa kupiga interview
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom