Tunatafuta mpishi mzoefu wa jikoni wa kupika supu za mkia, ulimi, utumbo, paya, kongolo, mbuzi, ng'ombe, pweza na mtori awe na sifa zifuatazo :
Umri usiopungua miaka 18
Awe Watanzania
Ajue...
Wizara ya afya na Ustawi wa jamii wametangaza nafasi nyingi za kazi zikiwemo za ustawi wa jamii. Kwa taarifa zaidi ingia hapa. Ministry of Health and Social Welfare. Asanteni sana.
jamani nna bachelor ya procurement and supply managent:natoka mkoani nimefika hapa jijini toka dec nimezunguka sana kutafuta kazi yoyote ile niko tayar ila jaman mana naish ktk mazngira magum sana...
Reputable company is having vacant post for Marketing Executive, Should speak English and Kiswahili. Salary + Bonus will be offered to the right candidates. School leavers can also apply.
Send...
Nawashukuru sana wana JE.Mlinipa moyo na hatimae nimefanikiwa kusoma maendeleo ya jamii ngazi ya certificate.Nimemaliza na sina uwezo wa kusoma diploma moja kwa moja.JE KWA UZOEFU WENU WAPI NAWEZA...
Job Base Location: Kwa Mrefu, Arusha
OFFICE MANAGER
Candidates applying for the above position should have the following qualities:
· Preferably not more that 35yrs of Age
· No...
Bandugu habari
naomba mnisaidie namna ya kuandika PORTFOLIO sijui inaandikwaje kwani nimeambiwa
nitume Portfolio kuna sehemu ya kazi nataka kwenda kufanya hivyo naomba mnisaidie
portfolio...
Kuna dada ana diploma ya rasilimali watu, amemaliza taasisi ya ustawi wa jamii mwaka jana, anatafuta kazi. Unaweza kumpata kupitia erick_simbamax@yahoo.com
Kwa wale wafanyabiashara Wadogo na Wakati wanaohitaji uwekaji sawa wa mahesabu yao na kuandaliwa Income Statements pamoja na Statements of Financial Position, wanakaribishwa kuwasiliana nami kwa...
Habari zenu wadau napitia magazeti hapa nimeeona tangazo hili,kutoka ofisi ya waziri mkuu idara ya baraza la uwezeshaji kuwa wataendesha kozi ya ujasiriamali bure kwa graduate,watatoa chakula na...
Habari wana JF,please naomba kujuzwa kuhusu application zilizotumwa NMB lake zone na Highland zone post za Bank officer imefikiawap na wameshaanza kita au?natanguliza shukrani!
Naskia nafasi za jkt zimetoka ila naskia kuna nafasi 350
Hizo nafasi 350
ni kwa nchi nzima au mkoa mmoja tu?
Maana ukisema hivyo una maanisha kila wilaya wasizidi watu 3
AU
ulitaka kuandika...
jaman watanzania wenzangu, sijapata kazi/ajira huu mwaka wa tatu sasa. Nina Diploma ya Sheria, nilihitimu mwaka 2010. Pia nina Computer Skills, na Driving License. Maisha apa mjini sasa naona...
Kwanza niuombe Uongozi wa JF wasichanganye mada hii na nyingine.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza ni kweli kumekuepo na Tetesi nyingi haswa ktk jukwaa hili kwamba Katibu Mkuu wa Ccm mh...
nimepigiwa cm na hawa jamaa kuna interview wataiendesha ni kama graduate trainee hivi, msaada yeyote anaejua kuhusiana na hiyo kitu na maswali wanayouliza, in short mtu yeyote aliyewahi kulink na...
Wadau heshima kwenu.
Naomba nizungumzie MAMBO MBALIMBALI hasa kwa watz wenzangu ambao bado hamjapata kazi ya kuwasaidia kupata chochote. Zaidi nitazungumzia kwa wale wenye vyeti (certificates...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.