Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Kazi ipo walimu,sio mcheza leo kwa mara ya kwanza waziri wa elimu prof mkenda amesema kwanini walimu tunasailiwa. Jipangene jamaa wapo siriasi. Tusipovuka mwaka huu vigezo vya msimu ujao...
4 Reactions
19 Replies
2K Views
Nahitaji sales person mmoja Kwa ajili ya masoko ya bidhaa za hardware *Umeme Salary :350,000 per Month plus bonus Location: Kibamba Dar Es Salaam piga 0685590415
3 Reactions
2 Replies
453 Views
Summary: Tanzania Commercial Bank is a Bank that provides competitive financial services to our customers and creates value for our stakeholders through innovative products with a vision “to be...
0 Reactions
1 Replies
866 Views
We are currently looking for a well experienced and organised Nursery teacher. Qualifications ● At least 3 years of experience in a similar position ( jolly phonics skills will be additiona...
0 Reactions
1 Replies
339 Views
Work Location: Arusha, Tanzania Expected duration: 3-6 months starting 01 April 2025 Duties and Responsibilities Organizational Setting and Reporting: The Office of the President of the United...
0 Reactions
1 Replies
577 Views
Job Title: Assistant Lodge Manager. Location: Arusha & Serengeti, Tanzania About Us: Planet Lodges is hiring new talent for multiple openings at our brand-new SPA and existing properties. We are...
0 Reactions
1 Replies
438 Views
Summary: Standard Bank Group Limited, a leading financial institution in Tanzania, is excited to announce several job vacancies across different sectors within the bank. If you’re passionate...
0 Reactions
1 Replies
608 Views
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Mamlaka za Serikali za Mitaa (LGAs) anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi elfu...
3 Reactions
6 Replies
821 Views
Kuhama kada inakuaje? Jinsi ya kuhama kutoka hospitali ya mkoa kwenda maabara ya Mkemia Mkuu au NIMR au TBS au Chief Pharmacist
0 Reactions
6 Replies
926 Views
Natafuta kazi kwenye makampuni, bandarini au Taasisi yoyote nipo Dar es salaam elimu yangu kidato Cha nne 0742548727
3 Reactions
35 Replies
2K Views
Wakubwa, naomba kufahamu. Nimteuliwa kwenye usaili wa kazi ya kuandikisha wakati wa Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura. Naomba mbinu na ufahamu kuhusu aina ya maswali wanayouliza...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Maisha bhana zamani mlisema walimu ni kazi mbaya ... Sasa hivi mnaililia... Waacheni walimu wainjoi bhana
1 Reactions
1 Replies
291 Views
Wanahitajika haraka sana: Sales Manager & Technical Specialist (Heavy Equipment) Sales Manager – Uzoefu katika mauzo, uongozi, na kujenga mahusiano na wateja. Technical Specialist (Heavy...
1 Reactions
2 Replies
393 Views
Habarini ndugu zangu Nipo hapa natafuta kazi yoyote viwandani, ofsini au mashirika yani popote pale penye kazi halali ya kutumia nguvu au akili, niko kwenye hali ngumu sana ya kimaisha, niko...
1 Reactions
2 Replies
879 Views
Niliwahi kuomba kazi ya air hostess ATCL nikapigwa danadana hadi nikakata tamaa. Mvuto ninao tena urefu ninao. Sasa matokeo yake mnaajiri vijitu vifupi mnaishia kupondwa bungeni
26 Reactions
148 Replies
19K Views
Tanzania ni nchi ngumu sana kuishi kwa watu wanaojielewa yaani ukitafuta majina ya walioitwa kwenye usaili wa uboreshaji wa daftari la wapiga KURA mwaka huu kwenye website nyingi za halmashauri...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Ajira kwa aliyesoma Sociology nafasi 1, Psychology nafasi 1, Social Work nafasi 1, na Special Needs education nafasi 1 Eneo la Kazi, Prime School Dar es Salaam. sifa Awe mkazi wa Dar es...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari ya jua Kali na AC wanandugu. Kama kawadi dalali WA mjini nipo hapa. Una shamba au Poli na unahitaji kuwekeza mradi wako basi vijana wa Kazi WaPo wa kutosha na watukufanyia Kazi yako bila...
1 Reactions
14 Replies
551 Views
Jamani hali ngumu, Mwenye uhitaji wa Mpishi wa kupika vyakula mbalimbali hebu tupeane connection. Nimesoma Hotel Management pale DDC Kariakoo na kufanya kazi sehemu mbalimbali. Nyumbani...
24 Reactions
221 Replies
5K Views
NATAFUTA KIBARUA NDUGU ZANGU Mimi Ni kijana (me), mkazi wa TABATA KINYEREZI. Nina elimu ya kidato cha nne na ninategemewa na familia yangu—mke na watoto wawili. Kutokana na changamoto za maisha...
5 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom