Habari za wakati huu wanaJF,
Naombeni mnisaidie wenye uzoefu na hili.
Pengine kwenu wanaJF mlitumia njia zipi kuweza kupata ajira au kujiajiri, nimeuliza hili kwa sababu naona maisha yanazidi...
Habari za mchana? Nilikuwa napenda kufahamu kwa ujumla mazingira ya wilaya ya butiama kwa mtu anayeenda kuanza kazi katika wilaya hiyo.
Kwenye upande wa mazingira na tamaduni za huko butiama ...
Habari wana Jamii.. Naomba kupata uelewa kwenye hili .
Ikiwa umeshaajiriwa na unataka kuomba ajira Tena serikalini, wanaposema upitishe barua yako kwa mwajiri wako wa sasa .
1.Je ispofanyika hivo...
Habari wakuu,
Baada ya kuleta uzi WA kuuza nyumba hapa Na wengi wenu kunishauri nisiuze kiufupi nimepokea ushauri wenu ndugu zangu.
Ombi langu ni hili kwenu naomba MTU yeyote mwenye Gari ambayo...
Kwenu wakuu habari zenu
Mimi kijana wa miaka 25
Elimu form six
Nahitaji msaada wa kupata pikipiki ya mkataba kwa ajili ya kazi ya boda boda kijiwe changu kitakuwa kariakoo
Uaminifu ni mkubwa...
Kwa miongo kadhaa, kupata MBA kutoka Ivy League imekuwa ikichukuliwa kama tiketi ya dhahabu kwa ajira popote. Kulingana na Fortune, MBA ya Harvard inachukuliwa kuwa bora zaidi, ikishika nafasi ya...
Gdence Auto Spare Parts and Service ni kampuni inayo jihusisha na uuzaji wa vipuli vya magari kutoka German na urekebishaji (Service) ya magari hayo.
Ofisi zetu ziko Dar es salaam maeneo ya Sinza...
Nimefanya kazi kwenye NGO kwa miaka 8 mpaka mradi wangu wa mwisho ulivyofika tamati.
Maisha yangu ni ya kujichanganya na watu wote kwa sababu sijawai kujiona special kwa lolote nafanya kazi...
MWF TANZANIA
We are seeking the services of a cyber security expert in Dar es salaam, see below and apply if you are suited for the role.
Role Purpose
The role holder will be primarily...
Kama kuna mtu anahitaji dereva wa kukodi kwa trip au safari basi naomba anijulishe..ni udereva wa muda trip tu naamnisha ukiwa umechoka au unahitaji kuenda sehemu yoyote ila unahitaji kusaidiwa...
Samahani wakuu katika harakati za ugonga ulimbo nilikuwa nafanya application ndani na nje ya nchi sasa niliomba kazi shirika la Nestle global nchini Ghana.
Nimepokea mwaliko wa interview huko...
Reporting line- Manager; CyberSecurity
Job Summary
Responsible for daily monitoring of the IT Infrastructure using security technical expertise and looking for patterns and potential issues, this...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.