MITOCHONDRIA
Senior Member
- Feb 21, 2013
- 147
- 34
Utumishi mbona baadhi ya taasisi hazipo, mfano taasi ya mifupa, na ocean road
au mnataka wtu wajinyonge then mfute mchakato
au mnataka wtu wajinyonge then mfute mchakato
nimekupmni pm nikuchekie
wanajavi tunaomba ilo tangazo attach hapa au tuambieni linapatikana kwenye websit gan?
kuwa mpole comrade, nadhani wataweka.
Mfano, waliokuwa wameomba mzumbe university tangazo halikuonyesha asubuhi ya leo. Lakini muda huu, wame upload separate document ya mzumbe. So, just be patient!