Jiko la gesi..msaada plz

Jiko la gesi..msaada plz

SENGATI

Senior Member
Joined
Jan 18, 2013
Posts
127
Reaction score
26
heshima zenu wana jf.. nimechoshwa na maisha ya kula kwa mama ntilie, nataka nijipikie mwenyewe. Naomba kufahamu ni JIKO gani la gesi 2 plates mnaweza kunishauri ninunue?? Naomba kuwasilisha wakuu
 
heshima zenu wana jf.. nimechoshwa na maisha ya kula kwa mama ntilie, nataka nijipikie mwenyewe. Naomba kufahamu ni JIKO gani la gesi 2 plates mnaweza kunishauri ninunue?? Naomba kuwasilisha wakuu
Ulizia jiko linaitwa mikai hua n zuri sana
 
Nunua jiko la kijapan la NIKAI u wl never regret ingawa hapa ulipoweka tangazo c mahali pake
 
Back
Top Bottom