sababu zinazoonyesha kua utumishi wataendelea kutoa majina mengine kwa ajili ya interview hiz hapa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

sababu zinazoonyesha kua utumishi wataendelea kutoa majina mengine kwa ajili ya interview hiz hapa

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Will i.a.m, May 17, 2013.

 1. Will i.a.m

  Will i.a.m JF-Expert Member

  #1
  May 17, 2013
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 349
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  zifuatazo ni sababu zinazoonyesha kua utumishi wa umma wataendelea kutoa majina mengine kwa ajili ya interview ni kama zifuatavyo


  1.NAFASI 100 ZA WALINZI

  kulikua na nafasi 100 za walini ambazo hazipo kwenye majina haya ya sasa hivi swali la klujiuliza ni kwamba tanzania nzima wamekosekana vijana wenye sifa ya kua walinzi hata mmoja kwani kwenye majina haya hakuna hata majina ya interview kwa ajili ya nafasi za watu waliomba kwenye kada ya ulinzi

  2.NAFASI YA OFFICE ASSISTANCE 30
  KWENYE TANGAZO LA KAZI WALIONYESHA WANAITAJIKA WASAIDIZI WA OFFICE 30 LAKINI WALIOITWA HAPO NI 4 TU NHIVYO BADO NAFASI 26 ZIPO WAZI NA BADO HAWAJITWA

  3.NAFASI ZA JUMLA ZAIDI YA 1400

  KULITANGAZWA JUMLA YA NAFASI 1400 ZA KAZI NA MAJINA YALIOITWA NI ZAIDI YA 1300 LAKINI BADO KUNA MTIHANI WA MCHUJO KWA UJUMLA KILA KADA HII INAONESHA NINI KUA KUTAKUA UPUNGUFU WA NAFASI KAMA 700 AU 800 BAADA YA MTIHANI WA MCHUJO HIVYO LAZIMA MAJINA MENGINE YATATOLEWA ZAIDI KWA AJILI YA INTERVIEW

  4.TANGAZO LA MZUMBE

  baada ya tangazo la kwanza la kuitwa kwenye interview wlieleza kua kama hujaona jina lako basi usikate tamaa omba tena ukiona tangazo kwa sasa jua maombi yako hayajafanikiwa na kuna watu walioomba nafsi katika kada ya mzumbe hawakuona majina majina yao hivyo wakajua hawakufanikiwa kuchaguliwa baada ya masaa kadhaa majina yakatoka kutoka mzumbe kuonesha kua wanaitajika kwenye interview

  5.KUKOSEKANA KWA NAFASI MBALI MBALI ZA KAZI

  kuna baadi ya nafsi za kazi zilizotangazwa awali kama sectretary mafundi madereva katibu muhtasari na nk lakini hatujaziona mpaka sasa hivyo inatoa taswira kua bado kuna nafasi zinakuja kutangazwa kwa ajili ya interview zaidi
   
 2. Aisatu

  Aisatu JF-Expert Member

  #2
  May 17, 2013
  Joined: Dec 27, 2012
  Messages: 364
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  6.NAFASI ZA WATENDAJI KATA/VJIJI.
  Pia zilitangazwa mbona hapa hawajawka,hii inadhihirisha kuwa majina mengne bado yaan 2nd batch.
   
 3. F

  Fruit Senior Member

  #3
  May 17, 2013
  Joined: Jan 1, 2013
  Messages: 193
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Yaani upo sahihi kabisa mleta uzi mwenyewe kuna shosti yangu kaomba nafasi ya Secretary na ana diploma ya KATIBU MUHTASI pia kaomba na OFFICE ASSISTANT jina lake halipo lakini utakuta baada ya muda mfupi wanatoa tangazo wanaandika RE-ADVERTISMENT ina maana sifa gani za zaidi wanazozitaka? yaani inakera sana sijui tufanyeje wajue kama watu wako mtaani na wanashida sana ya kazi
   
 4. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #4
  May 17, 2013
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Hii ya tume ya utumishi ni janga lingine la kitaifa.sidahani kama Tanzania nzima watu wanaweza wakakosekana wa kujaza nafasi,maana haiingii akilini kuona eti post imekuwa readvertised
   
 5. M

  Mama chuma Member

  #5
  May 17, 2013
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Ndio tanzania yetu,la msingi ni kuomba na sehemu nyingine ipo siku zitajibu,nafasi ni nyingi hawajaita bado.
   
 6. BASANORARE

  BASANORARE Senior Member

  #6
  May 18, 2013
  Joined: Feb 6, 2013
  Messages: 199
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  jamaa ni kweli hawajatoa lakini kwenye tangazo wameandika kama hukuona jina lako ujue halijapita hapo ndo ishu inakuwa pevu
   
 7. MITOCHONDRIA

  MITOCHONDRIA Senior Member

  #7
  May 20, 2013
  Joined: Feb 21, 2013
  Messages: 131
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  kaka mkubwa nataka nikuhakikishie kama wakisema re advertisement ni waongo, kwa kuwa kuna nafasi ambazo hazina mjadala nazo pia hazikutoka tangazo kwa mfano nurse officers muhimbili othorpedic insitute (moi), na watu wametuma qualification ni degree, ocean road cancer insitute watu wametuma lakini hizo taasisi hazipo kabisa kwenye usaili. Hao waliotuma unawaambiaje. Then tangazo linageneralize tu. Kama hujaona jina ndio hivyo tena wakati sio majina hata hizo taasis hazikutoka tena. Nadhani huyu mwandishi alikurupuka tu.
   
 8. kimaus

  kimaus JF-Expert Member

  #8
  May 21, 2013
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 362
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 45
  Hata nafasi ya Afisa Nyuki kwa ajili ya Halmashauri ya Ilemela hawajaita watu. Mbona sielewi hawa watu?
   
 9. alma gemela

  alma gemela JF-Expert Member

  #9
  May 21, 2013
  Joined: Feb 22, 2013
  Messages: 851
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 35
  Walioitwa ni wale waliomba kwenye taasisi za serikali ambao walituma maombi kwa lugha ya kingereza.

  pia zile nafasi ambazo zilikuwa nyingi ni kwa ajiri ya almashauri za wilaya na miji pamoja na ofisi za mkoa ndizo ambazo bado majina hayajatangazwa kuweni wavumilivu

  Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
   
Loading...