MITOCHONDRIA
Senior Member
- Feb 21, 2013
- 147
- 34
Napenda kuchukua nafasi kuto masikitiko yangu juu ya tangazo la utumishi la kuitwa kwenye usaili, hivi hawa watu wapo ofisini ni professional au mjomba kawaweka tu, hainiingii akilini tangazo linatoka likiwa halijajitosheleleza kulingana na nafasi zilizotangazwa lakini tume haisemi. Kwa mfano tangazo lilitangaza nafasi za kazi kwa taasisi ya mifupa(moi) na hata taasisis saratani( ocean road). Lakini katika majina ya usaili hakuna majina katika taasis hizo na watu tuliomba, sasa mnataka nani atumbie juu ya hilio kama si nyinyi. Tangazo halionyeshi kama majina yataendelea au la. Au ndio kusema hizo nafasi mmeshawapta ndani kwa ndani. Acheni hizo hebu kuweni serious. Naomba kuwasilisha wana jf. Au kama kuna mtu ana taarifr anijuze. Mana hawa kazi imeshawashinda.