nahitaj msaada wa kupewa mafunzo ya ukaliman na tafsiri.


F

fossy

Member
Joined
Apr 20, 2013
Messages
7
Likes
0
Points
0
F

fossy

Member
Joined Apr 20, 2013
7 0 0
Naombeni msaada wa ushaur ,mawazo na mafunzo ya ukalimani na tafsiri.naipenda sana kaz hii lakini.sina dira nianzie wap ili nipate kujua kaz hizi vzr.mm nimemakiza chuo kikuu ,katka taaluma ya kiswahili lunguistics
 
PSYCHOLINGUIST

PSYCHOLINGUIST

Member
Joined
Oct 27, 2012
Messages
62
Likes
7
Points
15
PSYCHOLINGUIST

PSYCHOLINGUIST

Member
Joined Oct 27, 2012
62 7 15
Nakushauri ungeenda kuwasiliana na watu wafanyao kazi katika taasisi kama BAKITA, TATAKI, TUKI, nk. Wangekusaidia zaidi. Mimi pia ninasoma English Linguistics (Bachelor), na hizo kozi ni miongoni mwa kozi ambazo ninazisoma, isipokuwa, tunazisoma kiujumla, na endapo mwanafunzi mwenyewe binafsi atataka kuiva katika upande fulani, basi hana budi kwenda kusoma upya, kiundani zaidi. PIA NENDA KAWAONE "TANZANIA TRANSLATORS ASSOCIATION / CHAMA CHA WAFASILI TANZANIA (CHAWATA/TTA). Watu hao natumaini watakuwa ni msaada mzuri kwako kwa kukupatia maelekezo sahihi yahusuyo taaluma hii.
 

Forum statistics

Threads 1,272,602
Members 490,036
Posts 30,454,852