Kazi msichana wa steshenari

echuma

JF-Expert Member
May 20, 2010
311
79
Msichana wa kufanya kazi za steshenari anahitajika

Vigezo:
Awe anajua kutumia vizuri kompyuta.
Awe na muonekano mzuri.
Awe anajua kuongea na kuandika kiingereza vizuri.
Umri usizidi miaka 30

Kama unajihisi unaweza kufanya kazi hii tuma cv na cover letter yako ukiiambatanisha na picha ya passport yako kwenda legacyimpression@gmail.com

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Muonekano mzuri au mchapa kazi!!!? Je akiwa anajua kutumia vizuri kompyuta lakini akawa mvivu!!!? Au akiwa anajua kuongea na kuandika kiingereza vizuri lakini anatumia lugha chafu/kali!!!? Ni mtazamo wangu tu, mwisho wa siku vigezo ni kwa manufaa yako.
 
hahahah...kazi na dawa...anataka kutoa kazi mbili lazima vigezo vya pande zote vizingatiwe...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom