Habari zenu wana JF, naombeni msaada wenu wa kupata INTERNSHIP katika kampuni,organization, serikalini au kwengineko as an accountant...cha muhimu hiyo sehemu iwe ni sehemu somehow reputable.Naombeni sana mnisaidie ndugu zangu nimehangaika sana kutafuta kazi lakin wapi..Kwa yeyote anayetaka kuwasiliana na mimi namba yangu ni 0757 443396..MUNGU AWABARIKI.