Salam wadau.
Wapi naweza pata radio call yenye uwezo wa kwenda masafa marefu?
Au mwenye kujua gharama zake pia nitashukuru.
Mimi nipo dsm
Ninazo za kutosha we weka specifications. Ninapatikana kwa email cathbert1974@gmail.com
Check kwa email yako
mkuu unataka mpya au used? mia