House girl/mfanyakazi wa ndani anahitajika haraka kariakoo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

House girl/mfanyakazi wa ndani anahitajika haraka kariakoo

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Silicon Valley, Aug 21, 2012.

 1. S

  Silicon Valley JF-Expert Member

  #1
  Aug 21, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 554
  Likes Received: 188
  Trophy Points: 60
  WANA JF NAOMBA MSAADA KUPATA MFANYAKAZI WA NDANI, ANAYEWEZA KUISHI HAPA HAPA, MSHAHARA NNA WA KUVUTIA NA NI MAELEWANO, ningependa awe na mdhamini, iwapo tutakosa wa kuishi naye basi kwa muda tukipata wa kuondoka si mbaya,

  Vilevile kama pana mtu anawaelewa mawakala wa ajira kama hizi naomba contacts zao, au mahala walipo kwa msaada zaidi..

  MAJIBU WAWEZA NITUMIA PM, AU JIBU HAPA TU
   
 2. Catherine

  Catherine JF-Expert Member

  #2
  Aug 21, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 1,263
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Upo tayari kutoa mshahara wa 450,000/tsh?
   
 3. k

  kilema pofu Member

  #3
  Aug 22, 2012
  Joined: Aug 12, 2012
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu nakushauri katafute kijijini kwako hukukwetu hakunaga tena waku fulia watu machupi
   
 4. Tope

  Tope Member

  #4
  Aug 22, 2012
  Joined: Jul 23, 2012
  Messages: 43
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 15
  Nipo tayari kuwa houseboy tafadhali sitanii
   
 5. stephot

  stephot JF-Expert Member

  #5
  Aug 22, 2012
  Joined: Mar 1, 2012
  Messages: 5,030
  Likes Received: 2,648
  Trophy Points: 280
  Nitajie Umri wako,mimi ninahitaji kijana wa kazi kuanzia tarehe 01/09/12,lakini sio kariakoo ni eneo la Mbezi ya Morogoro Rd.ni pm kwa maelekezo zaidi.
   
 6. Arvin sloane

  Arvin sloane JF-Expert Member

  #6
  Aug 22, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 963
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Kuna bibi mmoja mestaafu kazi serikalini sasa anatafuta kazi kama hyo unamtaka?
   
 7. UKI

  UKI JF-Expert Member

  #7
  Aug 23, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 699
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  nahisi atakuwa anatumia washing machine so hata huyo house girl hatakuwa anafua nguo ni kazi nyingine tu. mkuu hata wewe unawapa kazi za kufua nguo za ndani wafanyakazi wa ndani? ni tabia mbaya sana,
   
 8. Tope

  Tope Member

  #8
  Aug 26, 2012
  Joined: Jul 23, 2012
  Messages: 43
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 15
  Nina 28 yrs 4msix najua eng na swahili
   
 9. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #9
  Aug 26, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Kuna Dada mmoja yeye ni mtu kutoka Malawi anasaidia hapa ofisini, anasema ana ndugu yake anatafuta ajira, hawa wanyasa wanasifika sana kwa uaminifu na uchapa kazi hivyo kama utamuitaji yupo tayari.
   
 10. z

  zamlock JF-Expert Member

  #10
  Sep 3, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 3,849
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Toa number tukupigie
   
 11. h

  handsome1 Senior Member

  #11
  Jul 17, 2013
  Joined: Jul 16, 2013
  Messages: 183
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hello watanzania,anayehitaji madereva,mafundi computer,waalimu wa kiingereza na utalii,wafanyakazi wa ndani anipigie 0652835909 NIPO DAR
   
 12. h

  handsome1 Senior Member

  #12
  Jul 17, 2013
  Joined: Jul 16, 2013
  Messages: 183
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yupo mtu mwenye sifa hizo nipigie 0652835909
   
 13. grafani11

  grafani11 JF-Expert Member

  #13
  Jul 17, 2013
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 15,534
  Likes Received: 342
  Trophy Points: 180
  Wewe hausigeli wako anakufulia machupi yako?
   
 14. S

  Silicon Valley JF-Expert Member

  #14
  Jul 17, 2013
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 554
  Likes Received: 188
  Trophy Points: 60
  SHUKRANI KWA WOTE WALIOJITOKEZA KUNISAIDIA KWA NAMNA YEYOTE ILE,, Tangazo hili ni la zamani sana tangu mwaka jana augost , na tayari nilishampata...
   
Loading...