Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

kwa java for windows na java for android....
0 Reactions
0 Replies
797 Views
Syntek Global ina kupa fursa ya kuwa wakala wake kupitia bidhaa yake iitwayo "xtreme fuel treatment" Faida za XFT zako katika jamii nne 1. Kupunguza matumizi ya mafuta na kuongeza umbali wa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
mimi nilimaliza kidato cha nne mwaka jana na matokeo yangu nilipata DIV IV ya 28. nna D za Civics,kiswahili,geog,history, chemistry na nna C ya english. nimeshindwa kujiunga na chuo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
napenda kuuliza hv inawezekana ukafanya interview na kupigiwa simu baada ya wk moja kuambiwa kuripoti kazin then kesho yake unaambiwa usije tena nafas hazitoshi?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari,, naomba mtu ambaye amewahi kufanya interview ya internship TCC hivi karibun anipe muongozo wa maswali. ahsante.
0 Reactions
10 Replies
4K Views
wana jf naomba kuelewa unique walitoa nafasi za kazi mtwara walishaita watu kwenye interview
0 Reactions
1 Replies
2K Views
HABARI ZENU WADAU TUNATOA HUDUMA YA USAJIRI WA MAKAMPUNI KWA BEI NAFUU tunachokifanya hapa ni kukusaidia wewe unayetaka kufungua kampuni yako kwa kukuandalia documents muhimu zinazohitajika...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
WAKUU SALAAM. Naomba mwenye ufahamu anijulishe je inachukua muda gani kupata fao la kujitoa PPF baada ya kusubmit documents zote zinazohusika ofisini kwao? asanteni sana.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wadau! Rafiki yangu yupo dissapointed sana anasema amepata GPA ya 3.4 kamaliza Compute Science degree anauliza kama anaweza kupata kazi kwa hizo grade maana anasema amesikia kwa watu...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mimi ni kijana wa kiume nimemaliza chuo kikuu cha Dodoma (Udom) mwaka 2012 na kupata LOWER SECOND (3.1) katika Bachelor of Commerce in Accounting (B.com Acc).Naombeni msaada wenu wa kunipatia...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Namshukuru MUNGU kwa kunipatia muda na nafasi hii ya kuweza kujieleza. Mimi ni kijana wa kiume nina miaka 25 lakini tangu nimemaliza diploma yangu ya Information Technology mwaka 2011 napata...
1 Reactions
19 Replies
5K Views
Natafuta ajira kwa fani ya Computer engineering (IT). Naweza kufanya vitu vifuatavyo:- 1.Networking 2.Maintenance of computer 3.Data entry and Data analysis 4.Developer programmed 5.Graphic and...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
nina degree ya uchumi gpa 3points na advance nilisoma eca cjawahi hata kuitwa interview tangu 2011.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
An upcoming hotel in Morogoro has a vacancy for a Supervisor. Qualifications: University degree in Tourism, Accountancy, Management or other relevant field OR Form Six with adequate hotel...
0 Reactions
0 Replies
894 Views
tangu januari kuna mjomba wangu alifanya interview ya kazi pale utumishi kwa nafasi za credit officer. mpaka leo naona kimya kwani hawajaita wala kutoa kwenye web yao. au tayari mchakato...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Habari zenu wana jf! Naomba kusaidiwa hints za interview za hawa jamaa wa PSRS ni mambo gani hasa wanahoji sana hasa kitaaluma.? Je, wanapiga slides za chuo zile in deep au ni general knowledge...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Wanajamvi please please naomba mnisaidie kuhusu hili kuna yeyote mwenyewe kujua kuhusu Psychometric APS Nimepata nafasi ya kufanya Interview with one Internationa Organisation na moja ya vitu...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hawa jamaa wa Erolink recruiting agency mwisho wao umekaribia unless kama kuna mkubwa yupo nyuma yao, lakini kama wamesimama wao kama wao lazima anguko lao laja.Bwana usichezee vilio vya watoto wa...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Back
Top Bottom