Lini nafasi za kujiunga na jeshi la wananchi wa tanzania(jwtz) zinatoka kwa mwaka huu 2013 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lini nafasi za kujiunga na jeshi la wananchi wa tanzania(jwtz) zinatoka kwa mwaka huu 2013

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by mkwawa gabriel, Jan 19, 2013.

 1. mkwawa gabriel

  mkwawa gabriel Senior Member

  #1
  Jan 19, 2013
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 100
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Jamani wana Great thinker ni lini? nafasi za kujiunga na JWTZ zinatoka kwa mwaka huu 2013
  Tujuzane kwa undani na ukaribu coz we need to join an army plz your information will be of a great thnx if you do xo!!!!!!!!
  thnx have good weakend
  Se uuuuuuuuuuuu!!!!!!!All Great thinkers
   
 2. waya jr

  waya jr Member

  #2
  Jan 19, 2013
  Joined: Dec 10, 2012
  Messages: 66
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  kwa uwelewa wangu na nikiongezea na nilichoskia ni kwamba kwa mwaka huu jw watachukua watu watakao pitia jkt kwanza,na kwa nafasi jkt tayari zilishatangazwa
   
 3. r

  real entrepreneur Member

  #3
  Jan 19, 2013
  Joined: Jan 19, 2013
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hapa kila mtu analo lake..mwingine atasema hawaajir kwan wamesitisha mzima uku mwingine atasema subirieni mwez wa pili n.k. hakuna mwenye uhakika ktk ilo...kama vp nikushaur uende 1 kwa 1 hadi makao makuu ukaulizie, then ndo utapata uhakika
   
 4. mkwawa gabriel

  mkwawa gabriel Senior Member

  #4
  Jan 19, 2013
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 100
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Thnx!!!!!!!!!for your information waya jr
   
 5. mkwawa gabriel

  mkwawa gabriel Senior Member

  #5
  Jan 19, 2013
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 100
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  :nimekataaDah!!!!!!OK!!!!!!!!!!!!i will but ukipata information and not a rumor den utani PM basi@real entrepreneur:nimekataa
   
 6. Nzenzu

  Nzenzu JF-Expert Member

  #6
  Jan 20, 2013
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 859
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kwa 4m 4 na 6 mchakato unaendelea mpaka sasa. Nenda ofisi ya mkuu wa wilaya yako ukaulizie!
   
 7. mkwawa gabriel

  mkwawa gabriel Senior Member

  #7
  Jan 20, 2013
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 100
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Thnx alot Nzenzu
   
 8. Mwakitobile

  Mwakitobile JF-Expert Member

  #8
  Jan 20, 2013
  Joined: Oct 4, 2012
  Messages: 453
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Nafasi za kujiunga Jwtz zinatoka baada ya kuhitimu mafunzo ya Jkt.
   
 9. mkwawa gabriel

  mkwawa gabriel Senior Member

  #9
  Jan 20, 2013
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 100
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Thnx!!!!!!!!!!!mwakitobile nisha pata taratibu zao xo thnx a lot and God be with you!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 10. N

  Neyman wa chelsea Member

  #10
  Jan 20, 2013
  Joined: Jan 6, 2013
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. Luno G

  Luno G JF-Expert Member

  #11
  Jan 21, 2013
  Joined: Sep 22, 2012
  Messages: 1,888
  Likes Received: 281
  Trophy Points: 180
  una level gani ya elimu? kama ni profession uwezekano wa kupata ajira ni ngumu sana ninachokushauri tumia cheti cha form 4 au cha form 6
   
 12. mkwawa gabriel

  mkwawa gabriel Senior Member

  #12
  Jan 21, 2013
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 100
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nimeongea na kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya wakanipatia maelekezo
   
 13. mkwawa gabriel

  mkwawa gabriel Senior Member

  #13
  Jan 21, 2013
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 100
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Level yangu ya elimu ni Bachelor degree in Management Information Systems(MIS) Luno G
   
 14. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #14
  Jan 21, 2013
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,164
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  Umepitia JKT?
  Kama jibu ni hapana usijisumbue,huna chako wewe!!!!!
   
 15. Elerai

  Elerai JF-Expert Member

  #15
  Jan 21, 2013
  Joined: Dec 29, 2012
  Messages: 475
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Swala la kupitia Jkt n gumu ingekuw direct kwend Jwtz ingekuw poa .niende jkt wakavunje miguu then jwtz wananimalizia mikon na meno yangu. Wacha niendelee na hak kaprogram kangu hapa mjini jesh hapana aisee silipend jesh kias hicho wenye hamu na upendo nendeni mungu awe nanyi mlio tayar
   
 16. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #16
  Jan 21, 2013
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,164
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  Na lengo la kupitia JKT ni kupata askari halisi,si askari mamluki kama wewe!!!!!!
   
 17. Z

  Zero One Two JF-Expert Member

  #17
  Jan 21, 2013
  Joined: Sep 16, 2007
  Messages: 9,393
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Nzenzu mie hua nakutafuta sana aisee
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. mkwawa gabriel

  mkwawa gabriel Senior Member

  #18
  Jan 21, 2013
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 100
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Thnx!!!!chai chungu for yo view
   
 19. Yona Edson

  Yona Edson JF-Expert Member

  #19
  Jan 22, 2013
  Joined: Jul 25, 2011
  Messages: 12,692
  Likes Received: 6,108
  Trophy Points: 280
  we utakuwa bwabwa cyo buree
   
 20. M

  Maliselo JF-Expert Member

  #20
  Mar 2, 2013
  Joined: Jan 15, 2013
  Messages: 236
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Wadau tujuzane kwa wanaojua intek ya pili mwaka wa 2013 itakua mwez wa ngap wataanza kuchuku
   
Loading...