Dcb bank

Dcb bank

miminani

Member
Joined
Jul 23, 2013
Posts
51
Reaction score
7
Habari wadau.. nilikuwa nahitaji kuuliza kiwango cha mshahara wa ASSISTANT OPERATION OFFICER , DCB BANK kwa mtu wa DIPLOMA ni kiasi gani?? Je kuna BONUS kama wafanyavyo ACCESS bANK?? Msaada plzz!!
 
sorry, elaboration plz.. huyu mtu anafanya kazi kama Loan officer..
 
Back
Top Bottom