Hawa jamaa (BMTL) walitangaza nafas za kazi kama mwez sasa,kuna yeyote aliyeitwa ili kama nikusubiri tuendelee au ndio funika kombe mwanaharam apite,yaan watu walishaanza kazi tayari.
I am a Tanzanian driver who hold Class C, C1, C2, C3, D, E, A, B, & G
also I have grade One, Two, PSV and VIP advanced Driving Certificate from NATIONAL INSTITUTE OF TRANSPORT (NIT)
I can write...
anahitajika music producer anaeweza kucheza atlst guiter na keyboard kwa ufasaha..na awe anajua kutumia software basic kama[FL STUDIO,CUBASE,NUENDO,PRO-TOOLS PIA SOUND FORGE]
Kweli ni haki kweli hii hatuelewi kinachoendelea na kama walishaita watu na majina waliyatangaza kwa kutumia media gani?.....kwakweli kwa njia hii inachosha na kukatisha tamaa......TANZANIA...
Amani kwenu ndugu zangu wana jf hasa kwenye kitengo hiki, poleni na majukumu ya kila siku, nimeona hapa ni sehemu sahihi ya kuomba ushauri wenu katika hili ....mimi ni kijana miaka 26 katika...
Heloo wanaJF,wasalaaam!!!!
Naomben msaada kwa anayefaham ofisi za Mekonsult Auditing firm,kwan nimejarib ku google kwa website yao hawaoneshi wako jengo gan hasa ila ni mtaa wa Regent...
Nawasalimu wote, jamani kuna business opportunity meeting inafanyika JB Bellmont tar 15 Aug 2013 card ninazo kama unaitaji wasiliana nami kwa namba hii 0754/0715 297298.
Sent from my BlackBerry...
Natafuta kazi ya ulinzi, nina umri wa miaka 22, nina elimu kidato cha nne 2012, kwa yule yote mwenye kazi naomba, mawasiliano zaid niandike kwenye emeil zifuatanzo,
Natafuta Binti anayekaa maeneo ya Magomeni, Mwembechai, Kagera, manzese au Magomeni Usalama kwa ajili ya kuniuzia duka la vipodozi. Awe mwaminifu, mchangamfu, mchapa kazi, atakuwa anafungua duka...
Habari za mda huu members!
Tulifanya usaili wa kuandika (written interview) Ewura tangu tarehe 23/07/2013 na kuahidiwa kupigiwa simu ndani ya wiki moja kwa ajili ya oral. Cha ajabu hadi sasa...
habari wakuu mimi ni member wa siku nyingi humu ndani sasa nilikuwa naomba kazi yeyote humu ndan hata kuwa msaidizi wa admin kudelee zile post mbaya kwa sababu mda mwingi na spend humu ndan,kuhusu...
Guys,
We need an experienced QuickBook [Software] person, well knowledgeable in Accounting to provide training to three accountants.
PS: Before expressing your interest in this opportunity, make...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.