Ipo ndani kidogo na haina Kibao. Anyway ukishuka tangi bovu tembea upande wa pili kama unarudi mwenge kuna mtaa upo katikati ua hosptal na nussery school ingia kwenye hup mtaa mbele kidogo kuna duka mkono wa kulia ulizia hapo dukani
Ofc zipo kwenye geti la kwanza kulia kabla ya hilo duka
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.