natafuta kazi humu ndani ya jf (assistant admin)

natafuta kazi humu ndani ya jf (assistant admin)

Mechanics

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2013
Posts
295
Reaction score
26
habari wakuu mimi ni member wa siku nyingi humu ndani sasa nilikuwa naomba kazi yeyote humu ndan hata kuwa msaidizi wa admin kudelee zile post mbaya kwa sababu mda mwingi na spend humu ndan,kuhusu malipo makachopenda mnipe tu ,,asanteni
 
cc MikeMckee kijana huyo banaa!
 
Last edited by a moderator:
uwe na roho mbaya
uwe na mawazo ya busara
uwe na uwezo wa kusoma Report Abuse/Post 20 per 30 mins
usiwe na ukurupukaji kwenye post
uwe na uwezo mkubwa wa kuhifadhi matusi na kejeli
uwe na simu ya RIM au Android OS's
uwe mzalendo na kazi yako.

hizo ni baadhi tu ya vigezo vya kuwa admin JF Cc Farida
 
nitaweza mkuu mnipe tu kaz
 
Last edited by a moderator:
habari wakuu mimi ni member wa siku nyingi humu ndani sasa nilikuwa naomba kazi yeyote humu ndan hata kuwa msaidizi wa admin kudelee zile post mbaya kwa sababu mda mwingi na spend humu ndan,kuhusu malipo makachopenda mnipe tu ,,asanteni
Kazi yoyote na malipo pia yatakuwa yoyote. Naona umekuja na spidi ya ku-delete post zetu tu, haya kazi njema.
 
Unadhani ni kweli ana miezi 4 tu? huyu ni wa siku nyingi kweli kama alivyosema ila hakutaka kutumia ID yake ya siku nyingi, ndivyo nilivyomwelewa, nimemuuliza hivyo kum-challenge tu kuwa angeweza kutumia ID yake ya kawaida na isingeleta shida yeyote.

kwani siku 120 ni chache piga hesab miezi minne yupo humu
 
Back
Top Bottom