Updates za Oral interview EWURA!!!!!!!!!

Updates za Oral interview EWURA!!!!!!!!!

Trance M

Senior Member
Joined
Jan 27, 2013
Posts
183
Reaction score
37
Habari za mda huu members!

Tulifanya usaili wa kuandika (written interview) Ewura tangu tarehe 23/07/2013 na kuahidiwa kupigiwa simu ndani ya wiki moja kwa ajili ya oral. Cha ajabu hadi sasa kimya na funny enough najaribu kuwasiliana na jamaa zangu wote hawana taarifa kinachoendelea.

Mwenye info naomba atuupdate ili tuweze kurudi mkoani tumechoka kuishi kwa ndugu. Isije ikawa kama mchezo ule wa ajira za TANAPA tulizolazimishwa kubadilisha na kufanya interview za VETA.
 
kama hawajakupgia hujafanikiwa!jaribu tena,isije ikawa za utumishi nafasi 5 mnaitwa 700
 
Sure mkuu Kisendi kazi zimekuwa ngumu sana na ni za kujuana sana. Awali nilikuwa siamini suala la kujuana katika kupata kazi lakini kwa sasa nimeanza kuamini.
 
Last edited by a moderator:
Da hii kali sana. Pia kikwazo kingine kinachofanya kazi kuwa ngumu ni baadhi ya watu walio na kazi tayari serikalini kuapply kazi tena na kushindana na watu ambao hawana kazi au ambao wanatafuta hata hicho kibarua.

Kwa kuwa wanakuwa na mtandao wa kufahamiana na watu wakiwa serikalini unakuta hawahangaiki kupata nafasi za kazi ukilinganisha na mtu ambaye ni jobless.
 
Ulichosema ni sawa, kwamaba ni rahis sana kupata kazi nyingine kama tayari unayo kazi kwa kuwa tayari unao mtandao.
 
niaje?aisee mi wameniita kwenye oral wiki hi alhamic. nilipigiwa cmu wiki iliyopita. ila ndo cjajua wameita wangap!
 
niaje?aisee mi wameniita kwenye oral wiki hi alhamic. nilipigiwa cmu wiki iliyopita. ila ndo cjajua wameita wangap!

Labda ndio wameanza kuita.
Wamekupigia lini?
 
Komaa tu hadi kieleweke,ila wananikela na wale ambao wapo kwenye system halufu wanaomba kaz tena.
 
hivi kweli uhaba wa kazi ndo sababu za watu kunyanyaswa kiasi hiki? kwa nini waiite watu wachahce ili waachane na huu ujinga wa kila mbwembwe za interview?
 
niaje?aisee mi wameniita kwenye oral wiki hi alhamic. nilipigiwa cmu wiki iliyopita. ila ndo cjajua wameita wangap!

Habari mkuu teku? Hongera kwa kuitwa kwenye interview bila shaka leo umeenda kufanya interview na nakutakia mafanikio mema. Walikupigia simu lini? Mbona washikaji kibao tu hawajapigiwa simu? Kweli hii ni Tanzania
 
Last edited by a moderator:
hivi kweli uhaba wa kazi ndo sababu za watu kunyanyaswa kiasi hiki? kwa nini waiite watu wachahce ili waachane na huu ujinga wa kila mbwembwe za interview?

Ndugu yangu hata mimi bado nashangaa sana hizi interview kuitwa watu wengi halafu nafasi yenyewe ni moja au mbili. Mfano ewura waliita watu 178 kwa nafasi mbili ratio iko wapi?
 
Komaa tu hadi kieleweke,ila wananikela na wale ambao wapo kwenye system halufu wanaomba kaz tena.

ANGOBOY hii ndio nchi yetu mkuu. Watu walio makazini tena serikalini wanabadilisha kazi wanavyotama yaani inakela sana. Vijana waliopo mtaani wanabaki kutuma cv na kupigishwa interview hadi kero for nothing
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom