Bmtl

Bmtl

Babu wa Loliondo

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2012
Posts
323
Reaction score
106
Hawa jamaa (BMTL) walitangaza nafas za kazi kama mwez sasa,kuna yeyote aliyeitwa ili kama nikusubiri tuendelee au ndio funika kombe mwanaharam apite,yaan watu walishaanza kazi tayari.
 
Naona haikua bahati yako,watu wnafanya oral interview leo,na wanahitaji wanaume zaid kwa upande wa sells
 
Looo inaweza kua ila mm niliomba upande wa Accounts labda huko watakua bado hawajaita
 
Back
Top Bottom