Taasisi za umma na nafasi za kazi

Taasisi za umma na nafasi za kazi

Jshoo

Member
Joined
May 24, 2013
Posts
35
Reaction score
6
LAPF,TRA,PPF,SUMATRA.......................n.k,walitoa nafasi za kazi tuliapply lakini majina kwaajili ya shirtlisted hayajaonekana,...TRA wametoa nyingine tena wakati hatujui kama wanaitaga kwa haki.......jamani ndugu zangu inakatisha tamaa sana jinsi haya mambo yanavyofanyika......shamba sina,mtaji sina,kazi sipati,elimu ninayo,dhamana kwaajili ya mkopo hamna,tunajitolea zaidi ya mwaka na ajira hahupati,ukoo wetu mzima hamna kigogo............JAMANI TUUNGANE KATIKA MABADILIKO,KWASABABU NCHI YETU TOKEA MWAKA 1961 MAJINA YA VIGOGO NI HAYOHAYO UKIENDA TAASISI ZOTE UNAKUTANA NAYO,JE TUTAPATAJE HAKI ZETU TUSIPOSHIRIKIANA KUFANYA MAPINDIZI ANGALAU BASI YAJE MAJINA MENGINE,CHICHIM TUMEICHOKA KWA KUJIMILIKISHA NCHI JAPO HATA HAO WENGINE SI KANAKWAMBA NIWAZURI SANA LAKINI TUNAITAJI TUSHIRIKIANE KUBADILISHA SYSTEM ILIYOPO LA SIVYO NCHI YETU YENYE RASILIMALI NYINGI ITAZIDI KUMILIKIWA NA FAMILIA CHACHE NA SISI WAZALENDO WENYE UCHUNGU TUZIDI KUGANGA NJAA,KWAKWELI WANA JF NIMEONA MBALI.SYSTEM IMEINGIWA NA WADUDU WAWILI WACHAFU: UBINAFSI & RUSHWA...HAWA WADUDU NI HATARI KWA WAZALENDO KAMA MIMI NA WEWE,NAOMBA TUUNGANE KUIANGAMIZA HII SYSTEM....HAITUFAI TENA........NAWAKILISHA
 
pole sana mkuu,sio ww pekee yako...but changes, real changes r coming....tumechokaa.......
 
Nafikiria kujiunga upinzani sasa,
 
Da! nikifikiria muda nliokaa nyumbani na application nlizoandika tangia nimalize chuo nikiona hata magari ya hizi taasisi za umma natamani nibadilishe njia nipite vichochoron, Tanzania hii kweli tunaitaji mageuzi
 
ASA mbona hukupost kwenye jukwaa la siasa, manake inaonekana umechoshwa na siasa chafu za nchini mwako.
 
Naunga mkono...kuna kipindi SUMATRA walitangaza kazi.."daily news" mwenye diploma halikuwa harusiwi kuomba nafasi hiyo..tumefanya interview watu km 10. Hivi..aliyepewa kazi alikuwa ana diploma na chakusikitisha alikuwa yuko semistar ya mwisho..na alipata kwasabab ndug yake yuko Sumatra. Inauma sana.fitina TUPU.
 
Yani this thing suuucks...halafu ukute ht hao wanaoajiriwa kupitia njia za panya hawako competent. ..wavivu kupitiliza makazini kisa bosi ndugu yake
 
Time will tell

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
LAPF,TRA,PPF,SUMATRA.......................n.k,walitoa nafasi za kazi tuliapply lakini majina kwaajili ya shirtlisted hayajaonekana,...TRA wametoa nyingine tena wakati hatujui kama wanaitaga kwa haki.......jamani ndugu zangu inakatisha tamaa sana jinsi haya mambo yanavyofanyika......shamba sina,mtaji sina,kazi sipati,elimu ninayo,dhamana kwaajili ya mkopo hamna,tunajitolea zaidi ya mwaka na ajira hahupati,ukoo wetu mzima hamna kigogo............JAMANI TUUNGANE KATIKA MABADILIKO,KWASABABU NCHI YETU TOKEA MWAKA 1961 MAJINA YA VIGOGO NI HAYOHAYO UKIENDA TAASISI ZOTE UNAKUTANA NAYO,JE TUTAPATAJE HAKI ZETU TUSIPOSHIRIKIANA KUFANYA MAPINDIZI ANGALAU BASI YAJE MAJINA MENGINE,CHICHIM TUMEICHOKA KWA KUJIMILIKISHA NCHI JAPO HATA HAO WENGINE SI KANAKWAMBA NIWAZURI SANA LAKINI TUNAITAJI TUSHIRIKIANE KUBADILISHA SYSTEM ILIYOPO LA SIVYO NCHI YETU YENYE RASILIMALI NYINGI ITAZIDI KUMILIKIWA NA FAMILIA CHACHE NA SISI WAZALENDO WENYE UCHUNGU TUZIDI KUGANGA NJAA,KWAKWELI WANA JF NIMEONA MBALI.SYSTEM IMEINGIWA NA WADUDU WAWILI WACHAFU: UBINAFSI & RUSHWA...HAWA WADUDU NI HATARI KWA WAZALENDO KAMA MIMI NA WEWE,NAOMBA TUUNGANE KUIANGAMIZA HII SYSTEM....HAITUFAI TENA........NAWAKILISHA

hii ndio tanzania!
 
mkuu ngoja nikusaidie jambo mmoja! kati ya hizo taasisi ulizozitaja hapo juu mm nimfanyakazi wa mmojawapo ,labda nikutoe hofu hakuna uchakachuaji sana kwenye recruitment sema applicants ni wengi sana,idara ya rasilimali watu wanafanya kazi usiku na mchana kuchambua watu wenye sifa,then wanaangalia cost ya kufanya recruitment kwani hata wao wanapenda kuita watu wote kwenye usahili ilikuondoa lawama,jipe moyo MUNGU atakusaidia ila usilaumu sana mpaka ukakufuru mm wakati bado jobless nilikuwa nalauumu sana,lakini siku hizi nikiwaona wanaoshughulikia mambo ya recruitment huwa nawapongeza kwa kazi nzuri maana najua jinsi wanavyoenyeka na kutupiwa lawama zisizo na msingi ndani na nje ya ofisi.
ila siku nyingine usiingize siasa na chuki katika hili jukwaa maaana,ukiwa jobless hasira kwa serikali huwa nikaribu sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom