Civil engineer

Civil engineer

ENGI

Member
Joined
Aug 4, 2013
Posts
24
Reaction score
12
Habari zenu wana JF

Makampuni gani yanaongozo kwa kuajiri na kulipa vizuri ma Civil Engineers? Especially ambao wako registered kama Professional Engineer (PEng)

Thanks.
 
Pitia hapa ila ukubwa wao si jinsi wanavyolipa bali wanavyowanyonya wadogo kwa misingi ya Rangi, Eneo n.k. waethiopia na wahindi + waafrika in General wanalipwa kidogo sana

Thanks very much mkuu

Vip kuhusu makampuni na mashirika ya uma ya hapa Tanzania, mashirika / makampuni gani yanalipa vizuri? Mashirika mengine majanga tupu, wakubwa ndo wanalipwa vzuri wengine hali mbaya.
 
Kwengine kote ni misalaba pazuri ni kujiajili. Hapa Tz ni mbaya zaidi maana hata kazi haufundishwi wanataka output, ni vizuri ukatafuta kampuni ndongo ndo nzuri zidi kuliko kkampuni kubwa. Kama unataka hela bila kazi sijui wapi ila hata Tanroads inategemea uko wapi na nani yupo hapo waweza kuwa shallow Eng(ukitaka) na hela za kudokoa kidogokidogo kama roho yako ndo hivyo. Otherwise jiajiali tu kwingine ni utumwa
 
Nashukuru sana mkuu....
 
Back
Top Bottom