Ufundi si manane
bali ni vitendo ndugu
Mimi hapa mjini nikazi yangu tangu nipo huko Kwetu Iringa
Kwa hiyo si bahatishi na siwezi kujivunjia CV kwa apointment ndogo kama hiyo.
Katika kazi yoyote ni uaminifu baina ya wahusika ndio msingi na si fedheha
Hivyo siku zote
1.mgonjwa hachagui dactari bali hutazamia matibabu kama ni mazuri au laa
2.Na fundi kamwe hamtozi mtu pesa/malipo bila kuona kazi yenyewe na maafikiano.
3.Hivyo ndugu usipime kina cha mto kwa kuangalia juu ya maji ni lazima uingize kitu chochote chenye urefu unaotakikana ndipo utajua ndugu.
4.Rawama za fundi ni baada ya kumkabidhi kazi na haijafanikiwa ndipo ni haki ya mdai kuongea chochote.
5.Mafundi wapo wengi sana hata hapo inapoishi.
6.Jamii forum ni media ambayo mtu yeyote,wa mahari popote,muda wowote.
7.NA HATA MSAJILIWA(MTUMIAJI) ANATOA MAONI KUTOKANA NA VILE WAZO ALIVYO LITADHIMINI NA KUGUSWA.
kWa hiyo mimi nilitoa maoni baada ya kuona ndugu anadhihilisha tatizo.
kwa tasnia niliyo nayo huwezi kutangaza msiba kwenye media wakati majirani hawajui utakuwa uchulo.Kama huko mbeya walikuwepo angeuliza kwanza wauzaji wa vifaa vya Electroniks au alipo nunua wangemsaidia hapo mbeya.