Inasemekana kwamba kutokana na wafanyakazi kadhaa kutarajia kwenda kusoma hivi karibu, wote waliofuzu usaili uliopita huenda wakaitwa muda si mrefu. Mwenye kujua zaidi au mzoefu wa ajira za taasisi hiyo inayosimamia chakula na dawa achangie.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.