Posho City
JF-Expert Member
- Mar 15, 2012
- 648
- 418
Wadau wa jf
Nimeamua hili suala nililete hapa ili kama unahitaji au jamaa yako,ndugu yako au rafiki anaweza basi tusaidiane,Nahitaji kijana ambaye kidogo ana uzoefu na jinsi ya kununua bidhaa za genge.
Kutokanana na mimi kuwa busy napata shida sana kuamka mapema kwenda sokoni na kuwahi tena kibaruani.
Kwahiyo namhitaji kijana ambaye kazi yake itakuwa ni;
1) Kwenda sokoni ambapo ni Mabibo au Ilala na kununua bidhaa kulingana na mahitaji ya siku.
2) Kusaidia kuuza gengeni iwapo wife inawezekana akapata dharura siku yoyote.
Mimi napatikana Tabata Chang'ombe na genge lenyewe lipo maeneo haya haya.
Malipo halisi na jinsi ya kulipana ni maelewa