Wadau kwa yeyote aliyepata a job offer letter zilizo anza kutolewa tar 31 mwez wa 8. Vip m,meshatumiwa barua ya kwenda training, kwa anaejua msaada please!
Yeah ni kwel usemavyo, mshahara wanatoa kulingana na level ya taaluma aliyo nayo mtu,400000-960000,. Vip hyo jamaa alyetumiwa mwez wa saba, kashaitwa kazin?