Tunatafuta ajira, tunapata halafu nini kinafuata?

Tunatafuta ajira, tunapata halafu nini kinafuata?

10Shoka14

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2012
Posts
305
Reaction score
122
Watu wangu wa karibu naona wanavyokomaa kuhaha katika kutafuta kazi mpya baada ya kuona alipo hapamlipi.Lengo la uzi huu linawalenga wale wanaotaka kuacha kazi A ktk kijiji Nakatunguru na kutaka kwenda kufanya kazi A kijiji Ngareroo.Sina tatizo na wanaoacha kazi A na kutaka kwenda kufanya kazi B,C,D,E n.k.



Hawa wa kutoka A na kwenda A,huwa najaribu kuwashauri hamna sehemu utakwenda kama ni aina ya kazi hiyo hiyo unakusudia kwenda kufanya halafu utakuta mabadiliko makubwa.

Kitu kikubwa cha kufanya ni kuangalia kile unachokipata toka kazi A unakipeleka wapi?Muda wako wa ziada baada ya kazi unautumiaje?Kwa kiasi gani unaendelea kutafuta shule ya mambo tofauti tofauti hasa ya kimaisha ili kupata mbinu mbali mbali za namna ya kukabiliana na changamoto za maisha ya kila siku.

Iko elimu ya darasani pia ya nje ya darasa.Hizi mbili zinategemeana sana ili kufanikiwa ktk maisha.
Shida kubwa iliyopo miongoni mwa jamii yetu ni kutokuwa tayari kutafuta maarifa mujarabu toka katika vitabu tofauti tofauti vilivyotuzunguka.Kadiri tunavyoshindwa kutenga muda wetu kwa kusoma vitabu vizuri,makala nzuri magazetini,redioni na runingani basi watu wataendelea kupambana sana na kuhama sana toka kazi A na kwenda kufanya kazi A sehemu nyingine.

Naamini kunashule ya kutosha sana kuhusu maisha toka kwenye vitabu vitakatifu Quruan na Biblia,halafu vingine vinafuata.

Tafadhali kama kipo kitabu mtu akisoma kinaweza msaidia kwa mazingira yetu tafadhali kitaje kwa jina na mtunzi ili tuvitafute mtandaoni na tuzidi kubadilika kifikra katika namna ya kujikwamua ktk maisha.


Hivi hapa ni baadhi
1. Science of Getting Rich-Wallace D. Wattles
2. Financial Freedom for Employees-Usiere Uko
3. Train your Brain-Judith Tramayne
4. The Miracles of Your Mind-Joseph Murphy
5. Biblical-Keys-To-Financial-Prosperity-Kenneth E.Hagin

6. Push Your Limit-(simkumbuki mtunzi)

7. Single Minded Focus-Will Edwards

8. Gifted Hands-Ben Carson

9. Think Big-Ben Carson

Hapa chini ilikuwa post ya mtu hapa jf naidondosha na yenyewe

[TABLE="class: MsoNormalTable, width: 494"]
[TR]
[TD="width: 64"]
1
​
[/TD]
[TD="width: 407"] THINK AND GROW RICH
[/TD]
[TD="width: 189"] BY NAPOLEON HILL
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 64"]
2
​
[/TD]
[TD="width: 407"] HOW TO WIN FRIENDS
[/TD]
[TD="width: 189"] BY DALE CARNEGIE
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 64"]
3​
[/TD]
[TD="width: 407"] WHO MOVED MY CHEESE?
[/TD]
[TD="width: 189"] BY SPENCER JOHNSON
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 64"]
4​
[/TD]
[TD="width: 407"] THE RICHEST MAN BABLON
[/TD]
[TD="width: 189"] BY GEORGE J. CLASON
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 64"]
5​
[/TD]
[TD="width: 407"] RICH DAD POOR DADY
[/TD]
[TD="width: 189"] BY ROBERT KIYOSAKI
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 64"]
6​
[/TD]
[TD="width: 407"] THE SLIGHT EDGE
[/TD]
[TD="width: 189"] BY JEFF OLSON
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 64"]
7​
[/TD]
[TD="width: 407"] CHICKEN SOUP FOR THE SOUL
[/TD]
[TD="width: 189"] BY JACK CANFIELD & MARK
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 64"]
8​
[/TD]
[TD="width: 407"] AS A MAN THINKETH
[/TD]
[TD="width: 189"] BYJAMES ALLEN
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 64"]
9​
[/TD]
[TD="width: 407"] N.O.W(NO OPPORTUNITY WASTED)
[/TD]
[TD="width: 189"] BY PHIL KEOGHAN
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 64"]
10​
[/TD]
[TD="width: 407"] HOW TO MAKE MILLIONS WITH UR IDEAS
[/TD]
[TD="width: 189"] BY DAN S. KENNEDY
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 64"]
11
​
[/TD]
[TD="width: 407"] HOW BAD DO YOU REALLY WANT IT?
[/TD]
[TD="width: 189"] BY TOM MASSEY
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 64"]
12​
[/TD]
[TD="width: 407"] THE SEASON OF LIFE
[/TD]
[TD="width: 189"] BY TIM ROHN
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 64"]
13​
[/TD]
[TD="width: 407"] THE MAGIC OF THINKING BIG
[/TD]
[TD="width: 189"] DAVID SCHWARTZ
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 64"]
14​
[/TD]
[TD="width: 407"] DEVELOPING THE LEADER WITHIN YOU
[/TD]
[TD="width: 189"] JOHN C. MAXWELL
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 64"]
15​
[/TD]
[TD="width: 407"] HOW SUCCESSFUL PEOPLE THINK
[/TD]
[TD="width: 189"] BY
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 64"]
16​
[/TD]
[TD="width: 407"] AWAKEN THE GIANT WITHIN
[/TD]
[TD="width: 189"] BY ANTHONY ROBBINS
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 64"]
17​
[/TD]
[TD="width: 407"] UNLIMITED POWER:THE NEW SCIENCE
[/TD]
[TD="width: 189"] BY ANTHON ROBBINS
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 64"]
[/TD]
[TD="width: 407"] OF PERSONAL ACHIEVEMENT
[/TD]
[TD="width: 189"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 64"]
18​
[/TD]
[TD="width: 407"] GET OFF YOUR"BUT":HOW TO END SELF
[/TD]
[TD="width: 189"] BY SEAN STEPHENSON
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 64"]
[/TD]
[TD="width: 407"] SABOTAGE AND STAND UP FOR URSELF
[/TD]
[TD="width: 189"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 64"]
19​
[/TD]
[TD="width: 407"] THE SEVEN HABITS OF HIGHLY EFFECTIVE PEOPLE
[/TD]
[TD="width: 189"] STEPHEN R. COVEY
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 64"]
20​
[/TD]
[TD="width: 407"] FROM THE HOOD TO DOING GOOD
[/TD]
[TD="width: 189"] BY JOHNNY D.WIMBREY
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Back
Top Bottom