msaada wa ajira

msaada wa ajira

kalipeni

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
1,591
Reaction score
1,358
mimi nimechaguliwa kujiunga na chuo kikuu cha mlimani udsm kwa bahati mbaya sijabahatika kupata mkopo ninachoomba mtu anisaidie kupata ajira itakayoendana na ratiba yangu ya chuo ili niweze kujikimu kwa Mahitaji mbalimbali ya chuo.
 
Back
Top Bottom