Natafuta ajira

Natafuta ajira

Daty

Senior Member
Joined
Jul 1, 2011
Posts
126
Reaction score
13
Toka nimemaliza diploma mie na apply ila sipati ajira sasa nikarudi shule kuongeza elimu sijui nitapata ajira au ndio msoto
 
diploma ya marketing na degree ya procure
 
unawea kuta tatizo sio kiwango cha elimu kwani kila kazi wanaweka minmum requirements ikimaanisha kazi zote ulizoomba uliqualify. sasa kama hupati kazi basi posibilities ni kama tatu
1. hujui kuandika application vizuri which is most likely
2. hujui kujieleza vizuri ( unapanic brother kwenye interview)
3.unaomba kazi ambazo haziendani na experience yako ambayo sana sana ni ya field
4. hutafuti kazi vigorously
5. hufanyi kazi unazoomba ( kwa mfano unaomba kazi ambazo walengwa ni wahindi let say kuwa marketer wa travel agency ambapo unajua kabisa travel agencies nyingi zimembeba wahindi kwenye campuni za wahindi unategemea nini. kuwa kama simba anapowinda wanaweza kuja wanyama kibao kwenye maji lakini akapotezea hata kwa masaa 3 mpaka mlengwa akitokea.
unaweza kurudi shule ukaja kuomba kazi za senior level ukakosa vilevile. tafuta tempo ili ujiongeze kwenye cv,
usiombe kazi ambayo huna sifa nayo hata kama una degree
anzia chini hata zile kazi wanazoomba watu wa certificate ili mradi upate start up
 
ahsante kwa ushaur ila mie mdada
 
kazi zimekuwa za shida jamani ila pia kuandika cv ndo changamoto
 
vyuoni wanafundisha jinsi ya kuandika cv, achana na tabia ya ku-itemize cv yako, nenda ki- paragraph huku kwa chini ukichomeka hizo bulletins.

nyie graduate msikimbilie kazi za juu kwa kujaribu zali, hayo mambo yanawaboa employers, zipo kazi za graduates na ukijipamga injibu
 
mie nahitaji yoyote kwakweli. nimechoka kuomba pesa za watu
 
Back
Top Bottom