Ma Hr wa logistics company

Ma Hr wa logistics company

lukac

Senior Member
Joined
Apr 8, 2012
Posts
122
Reaction score
35
Ndugu zangu ma Hr wa logistics company naombeni msaada wenu naumia sana huku mtaani.Mkinipatia nafasi ya hata ya ukarani au dispatch officer mi nitashukuru sana.Najua sina experience na hizo kazi but ninaamini ni kazi ambazo general na pia ni very easy to adapt.Coz kwa jinsi nilivyochoka kwa sasa sina kitu but i promise ku share mshahara wa kwanza na wa pili (50/50) na hr atakayenisaida kupata kazi (kwa atakaye hitaji kitu kidogo).Atakayekuwa tayari kunisaidia naomba ani PM.Pamoja sana MUNGU awabariki..
 
Back
Top Bottom