To all guests on jamiiforums ... Read! This article it's for you

To all guests on jamiiforums ... Read! This article it's for you

Ryoba Warioba

Senior Member
Joined
Sep 1, 2013
Posts
199
Reaction score
170
JAMANI HIVI INAMCHUKUA MTU MUDA KIASI GANI HABARI YOYOTE ILIYOKUVUTIA HUMU KWENYE FORUM?!..... HABARI INAWEZA KUKUVUTIA SANA NA KIKUBWA KINACHONISHANGAZA NI IDADI YA GUESTS!!! KILA UKIANGALIA -TOPIC INFORMATION CHINI KABISA YA THREAD UNAYOISOMA UTAKUTANA NA MSG INAYOKUONYESHA IDADI YA WATU WANAOSOMA THREAD HIYO, KINACHONISHANGAZA KILA SIKU NI IDADI YA HAWA GUESTS...., KILA SIKU INAONGEZEKA!! KWANINI MSIJISAJILI!!!!? MBONA INACHUKUA CHINI YA DAK 2 TU, UNAKUWA NA AC/ YAKO MWENYEWE ILI UPWEZE KUCOMMENT AU KUPOST TOPIC UIPENDAYO, INANISHANGAZA HUMU, KILA THREAD IKIANGALIA -TOPIC INFO. INAKWAMBIA There are current 20 users browsing this thread, 1 member, 19 guests!!! aah, badilikeni.,.................
 
jamani hivi inamchukua mtu muda kiasi gani habari yoyote iliyokuvutia humu kwenye forum?!..... Habari inaweza kukuvutia sana na kikubwa kinachonishangaza ni idadi ya guests!!! Kila ukiangalia -topic information chini kabisa ya thread unayoisoma utakutana na msg inayokuonyesha idadi ya watu wanaosoma thread hiyo, kinachonishangaza kila siku ni idadi ya hawa guests...., kila siku inaongezeka!! Kwanini msijisajili!!!!? Mbona inachukua chini ya dak 2 tu, unakuwa na ac/ yako mwenyewe ili upweze kucomment au kupost topic uipendayo, inanishangaza humu, kila thread ikiangalia -topic info. Inakwambia there are current 20 users browsing this thread, 1 member, 19 guests!!! Aah, badilikeni.,.................


baeleze,kama abataki basi batalogota benyewe munyavu
 
Back
Top Bottom