Wanaotoa mafunzo hayo kwa sasa tanzania ni (osha) tu, kwa certificate na diploma huwa ni kila mwezi wa saba kila mwaka kwa mwaka huu enrollment imeshafanyika, tofauti na hapo zipo kampuni mbili hapa tz ni pm nikuelekeze mana kuwataja hapa nakua napromote kazi yao. Institution 1 inaanza na jina la he.... Call me tommorow morning not now @0757430913. Tofauti na hapo mafunzo haya hutolewa pia na mining companies kama ni mwanafunzi unaweza pia kuomba ku volunteer