Wakuu habari ya jumapili
Kwa heshima na tahadhima naomba kwenye connection ya kazi ya kufanya delivery ya mizigo kwa kampuni zilizopo Mwanza anishtue au kama kuna kazi yoyote halali mnipe jamani...
https://www.youtube.com/live/0EcQvO6owwc?si=C3wENbOFWYVOz-Cp
"Umoja wa Waalimu Wasio na Ajira (NETO) ulianza na Wanachama (wajumbe) 15 kupitia makundi ya WhatsApp. Tulianzisha NETO kwasababu ya...
Habari zenu wakuu.
Mimi ni mgeni hapa JF lakini nimekuwa nikifuatilia platform hii kwa miaka kadhaa sasa.
Lengo la kuja hapa jukwaani ni kuomba msaada wenu wa kazi ya aina yoyote ile ili mradi...
Utumishi (PSRS) wamemaliza usaili KADA ya UALIMU Jana jumatatu Tarehe 24. Ni vyema wakaachia majina ya waliopata AJIRA (PLACEMENT) ya masomo yote Kwa mkupuo kuliko kuwaweka Vijana waendelee Kila...
Habari zenu jomoni!! Mimi nimesomea records management lakini nimeenda kufanya interview katika kazi ya sales na marketing. Mtu anatufanyia interview kaniuliza hivi! Je kwanini umekuja kuomba kazi...
Habar wakuu!
Natafuta kazi ya ulinzi
umri; 28yrs old
Elimu; kidato cha 6, chuo but #dropout kwa sababu za kifedha lakn sio ishu
Mafunzo; JKT, Op; makao makuu Dodoma
Uzoefu; 3yrs of...
Mchakato umejaa manyanyaso Kwa vijana wasio na ajira Wala kipato kinachoeleweka kuanzia kwenye utumaji maombi ya kazi. Vijana walitakiwa kucertify vyeti vyao Kwa mwanasheria/wakili/hakimu yeyote...
Kiualisia sekretarit ya ajira kufikia hatua ya kutangaza nafasi za ajira ina maana kuna uitaji.Sasa inakuwaje nafasi itangazwe toka mwaka jana(2024) mwezi 8 mpaka mwezi huu wa pili mwaka 2025...
Nikijana WA miaka 23
Napatikana kigoma
Elimu kidato cha nne Nina cheti
Mafunzo jkt OPP magufili
Afya njema na ujuzi wa karetii na cheti pia kipo
Nko tayali kufanya kazi ndani na nnje ya...
Habari, rejea kichwa cha habari.
Jinsia: Me
Umri: 28 yrs old
Mafunzo: JKT
Uzoefu wa kulinda: 3yrs
Vituo nivyolinda: Julius Nyerere hydropower project (JNHPP),some of TRA offices &some of petrol...
Moja ya watu ambao ni wa kwanza kuifahamu LBL
Kupitia wao ni SOKOHURU
Kila kukicha alikuwa anaitangaza viongozi wa mikoani wengi wamekamatwa huyu jamaa mbona hakamatwi?
Nimejikuta nawaza tu....
Binafsi ajira yangu ya kwanza ilikua mwaka 2000, na mshahara wangu ulikua 115,000Tsh.
Nakumbuka nilikua nimemzidi babayangu mshahara na alishangaa sana.
Habari wana JAMIIFORUMS
Kumekua na ucheleweshwaji wa kuajiri walimu tangu kutoka kwa kibali Cha ajira za walimu 2024 Hadi Leo 2025 mchakato umekua mrefu sana, pia kipindi usaili ukiwa unaendelea...
Company Overview
Tanzania Empowerment Forum Limited (TEF Consult) is a management consulting firm specializing in organizational change, talent search, acquisition, and executive selection. We are...
Interested parties are hereby invited to tender for the supply of the following; “The supply of beans to The School of St Jude, Sisia Campus, Moshono, Arusha”. Bidders are invited to submit their...
Habari zenu wakuu..
Embu tusaidiane kupeana connection.
Mm nipo dar mbagala.
Na ujuzi wa videographer, photographer graphics designer na content creater.
Na uzoefu wa Zaid ya miaka 5.
Km Kuna...
Habarini wana JF, Mimi ni kijana Nina miaka 25, natafuta kazi nimesoma clinical medicine, nipo registered na leseni ninayo, naomba kazi dispensary au health centre, Kwa Sasa nipo mwanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.