Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Habari Wakuu, Kiwanda Kipo Dodoma cha Alizeti kinahitaji wafanyakazi wa ndani ya Kiwanda wenye kujua ku operates Machine mbalimbali. 1. Boiler Operator 2. Refinery Operator 3. Oil Crusher...
3 Reactions
4 Replies
890 Views
Yaani badala ya kuajiri wao mama anagawa pesa simba na yanga tu, mimi nimesoma udsm degree ya petroleum engineering nimemaliza 2017 mpaka sasa sina ajira. Nina GPA ya 4.5 lakini naponda kokoto...
44 Reactions
177 Replies
13K Views
Mwenywe kuelewa fees structure ya diploma course za MUHAS mfano nursing, lab, orthopaedic technology na diagnostic radiology naomba aniambie please
2 Reactions
2 Replies
716 Views
Ety watu wanaunda umoja wa waalimu wasio na ajira(NETO) Hivi kazi zote hizi kitaa wewe una shahada unashindwa kufanya mpaka ulalamike?? Ajira hakuna ila kazi ni nyingi tumieni akili
16 Reactions
77 Replies
3K Views
Natafuta kazi ya Agronomist (mtalaam wa kilimo Elimu yangu: Bsc. Horticulture Uzoefu wa kazi katika kilimo Kwa miaka 3 Rubis Agri Ltd 1. Uzalishaji mahindi ekari 200 sawa na ton300 Kwa mwaka 2...
5 Reactions
26 Replies
2K Views
Habari, naomba niweze kutoa uzoefu kidogo kuhusu nilivyoona baada ya kuhudhuria usaili wa muktadha wa muktadha wa mdomo (oral interview). Kusikiliza kwa ufanisi: Sikiliza vizuri kabla ya kutoa...
4 Reactions
8 Replies
2K Views
Jiandae vyema kwenye masomo ya PHYSICS, CHEMISTRY, na MATHEMATICS kwa A LEVEL, na PRE- FORM V. Mawasiliano: 0782044028 (Whatsapp); 0625012562
1 Reactions
1 Replies
403 Views
JOB DETAILS: Description 1) Ensure the site management safety and working normally Setup lock for fence, machine room, tank fuel and generator. Clean the site: inside machine room, fan, the face...
1 Reactions
4 Replies
554 Views
Ila watu wa humu, aiseeee🙌🙌🙌🙌 Anyway, turejee uzi wangu huu...
31 Reactions
100 Replies
4K Views
Habari wakuu Mimi ni ke umri miaka 25, natafuta kazi yoyte halali ndani ya Dar, naishi Kigamboni, nina uzoefu na kazi ya uwakala na sales. Nina Nida, TIN na Certificate... Naomba msaada wenu jua...
2 Reactions
2 Replies
489 Views
Hizi ndizo kozi zinazoongoza kwa kutoa mishahara minono Tanzania: 1. Petroleum chemistry, 8,000,000 Tsh kwa mwezi 2. Chemical engineering, 2,000,000 Tsh kwa mwezi. 3. Mining Engineering...
13 Reactions
75 Replies
12K Views
Habari ndugu na jamaa, naitwa Abduly mtenya natafuta kazi ya udereva ni mzoefi wa miaka 6, na sifa zote za udereva 99%… 📲whatsapp number & calls for more information +255659972797 asanteni👏
1 Reactions
0 Replies
450 Views
Position: Content Manager/Moderator (7) Location: Dar es Salaam, Tanzania Organization: JamiiForums About Us: JamiiForums is a Non-Governmental Organization in Dar es Salaam, Tanzania, dedicated...
14 Reactions
53 Replies
5K Views
Mambo vp wana jamii forum,mwenye ujuzi na kazi ya pota mlimani atupe madini upande wa malipo kampuni wanalipaje
1 Reactions
9 Replies
538 Views
Job type: Full-time POST COMPUTER ANALYST PROGRAMMER II – 3 POST EMPLOYER Bank of Tanzania (BOT) APPLICATION TIMELINE: 2024-12-05 2024-12-19 JOB SUMMARY NA DUTIES AND RESPONSIBILITIES...
0 Reactions
4 Replies
869 Views
Hello, I am wondering what is the average monthly salary for developer/software engineer in Tanzania? Junior/Senior levels? Je mshahara wa programa wa kompyuta ni kiasi gani kwa mwezi? wastani...
0 Reactions
9 Replies
8K Views
Habari, Naomba kwa yeyote anaejua kampuni au sehem nyingine ambapo wanapokea wanafunzi wa field kwa kozi ya degree of marketing and public relations mkoa wa Mbeya.
1 Reactions
5 Replies
789 Views
Habarini Wana jukwaa. Nimekuja mbele Leo kutafuta connection, Network ya kazi. Nina uzoefu wa miaka 8 kazi za Administration, procurement and logistics. Nina uzoefu nmefanya kazi kwenye...
1 Reactions
8 Replies
638 Views
Job Description We are seeking a friendly and professional Teller to join our Mwanza Branch. As a Teller, you will be the face of our bank, providing exceptional customer service while accurately...
0 Reactions
1 Replies
477 Views
Reporting Line SENIOR MANAGER SHARIA COMPLIANCE AND PRODUCTS Location Tanzania Head Office Department DEPARTMENT OF RETAIL BANKING Job Purpose To monitor all Islamic Banking Unit operations and...
0 Reactions
1 Replies
393 Views
Back
Top Bottom