Wakuu natumaini mpo salama ,, moja kwa moja kwenye mada ..
Ni hivi katika ajira hizi zilizotolewa na utumishi hivi karibuni ,, nimeona walimu wa Economics wakizuiliwa vikali kuomba nafasi ya...
Kama uko na ndugu au wewe mwenyewe tuwasiliane...
👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿
Update: Nimepata 5 interview kesho... Nitatoa mrejesho.. Asanteni sana kwa ushirikiano,🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Habari za muda comrades,
Naomba msaada mwenye uzoefu na interview za UTUMISHI kwa kada ya Counterfeits Surveillance Officer, ya FAIR COMPETITION COMMISSION, msaada wa nini wanauliza au waliuliza...
Habari Wakuu, Kiwanda Kipo Dodoma kinahitaji accountants waliomaliza chuo Mwaka jana(2024) au Mwaka juzi(2023).
Naomba tuma CV zako kwenda hrfbde@gmail.com
Angalizo: Usitume CV zako kama...
Hello mimi ni binti wa miaka 23 nimehitimu chuo kikuu cha Dar es salaam mwaka jana 2024 Bachelor of Commerce in Accounting. Mimi kama kijana nahitajii kazi ili niweze kutimiza ndoto zangu maana...
WAKUU, AMANI NA IWE NANYI. Ni lengo la sera ya elimu ya mwaka 1995 na 2014 kuwa na Mtanzania aliyeelimika, mwenye maarifa, stadi na mtazamo chanya katika kuchangia maendeleo endelevu ya Taifa la...
Ndugu zangu, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 na elimu ya kidato cha sita. Nilichaguliwa kusoma chuo cha IFM kampasi ya Dar es Salaam. Mwaka jana nilisitisha masomo baada ya kupungukiwa na...
Wale mlio na ujuzi wa online works au work at home mtusaidie na sisi housewife wa nyumbani tupate idea tuingize posho jamani msiwe wachoyo wa materials jaman!
Nimewasilisha!
** There will be immediate job opportunities for 28 outstanding training participants**
Who you are:
Bachelor Degree holder in Education
Commitment to a 3 week training in Dar es Salaam
Proven...
Wakati namsikiliza waziri Simbachawene akizungumzia ajira mara nasikia anatoa taarifa ya kumuunganishia ndugu yake kupata ajira.
Ni juzi ametukataza waombaji tuditafute connection!!!!
Ni juzi...
Hoja hizi 3 ni hakika haziwezi kubishaniwa:
1. Kwamba, kama nchi bado tunalo tatizo la upungufu wa Walimu katika shule za msingi na sekondari.
2. Kwamba, serikali haiwezi kuajiri kila...
Kwa gharama nafuu ya Tsh.500/= kwa Ukurasa / Page, kazi yako ya nitaifanya kwa haraka, umakini na weledi, kwa kuzingatia usiri (Confidentiality)
Procedure/Maelekezo
Tutawasiliana kupitia. Namba...
Ajira ngumu tuanzishe NGO vijana zinalipa hata USA zipo!? Wakija Sanasema hata Tanzania zipo chagua mlengo wa NGO na anzisha NGO sasa
Social Development Issues
Disability
Conference of States...
Anahitajika Mwalimu Kwajili ya kufundisha somo la commerce na Accountancy A level.
Shule Iko Mbeya Mjini.
Qualification: mtu mwenye degree katika masuala ya Commerce na Accountancy. Au Finance na...
Habari wakuu, nauliza kama kuna mtu yeyote ambae amewahi kutumia platform ya Linkedin kupata kazi.
Nauliza kwa sababu ni app ambayo ndiyo hasa inabeba jukumu la kutangaza na kutafutia kazi.
Watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.