Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Ajira ngumu tuanzishe NGO vijana zinalipa hata USA zipo!? Wakija Sanasema hata Tanzania zipo chagua mlengo wa NGO na anzisha NGO sasa Social Development Issues Disability Conference of States...
1 Reactions
29 Replies
3K Views
Anahitajika Mwalimu Kwajili ya kufundisha somo la commerce na Accountancy A level. Shule Iko Mbeya Mjini. Qualification: mtu mwenye degree katika masuala ya Commerce na Accountancy. Au Finance na...
1 Reactions
4 Replies
591 Views
Habari wakuu, nauliza kama kuna mtu yeyote ambae amewahi kutumia platform ya Linkedin kupata kazi. Nauliza kwa sababu ni app ambayo ndiyo hasa inabeba jukumu la kutangaza na kutafutia kazi. Watu...
6 Reactions
134 Replies
18K Views
Kwa jina naitwa ramdhani napatikana dar es salaam natafuta bajaji ya mkataba na Nina leseni sichagui yeyote pia na uwezo wa kuendesha gar za Uber Kwa mawasilian zaid 0678303923
2 Reactions
0 Replies
351 Views
Helen Keller International (HKI) is a nonprofit organization dedicated to saving and improving the sight and lives of the world’s vulnerable by combatting the causes and consequences of blindness...
0 Reactions
1 Replies
665 Views
Kiongozi naweza pata dereva mwenye uwezo wa kunendesha gar ndogo na ajue pikipiki vizuri (kazi ni messenger/derivery) mashaara 300k-400k Watume cv WhatsApp 0622943394 . Deadline tar 14 saa 8am
2 Reactions
43 Replies
2K Views
Habarini Wana JF. Swali langu ni kwamba muhitimu wa kidato Cha sita ambaye hajasoma course yoyote ya hospitality Yani mambo ya hotel na housekeeping anaweza para temporary job hotelini? Mfano...
2 Reactions
38 Replies
3K Views
Anahitajika Bachelor Pharmacist mwenye leseni kusimamia Phamarcy Location: Dar es Salaam NOTE : SIO LAZIMA YEYE KUWEPO PHYSICALLY SALARY : NJOO NA DAU LAKO Mawasiliano: 0767810030
0 Reactions
0 Replies
350 Views
Naelewa magumu wanayo pitia wanao tafuta ajira, kula yao tu MUNGU anasimamia. ila kuna ndugu zenu wamepata ajira halmashauri nao kichwa kinapasuka kwa madeni, stress na uduchu wa mishahara. Hela...
24 Reactions
215 Replies
17K Views
Kuna la kujifunza kwa waajiliwa wapya soma attachment.
2 Reactions
6 Replies
995 Views
Naomb kujuan salary scale ya mkemia kwa tbs,gcla na tpdc,nimr,nm
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Hello naitwa jenipha natafuta kazi ya receptionist naombeni msaada wenu 0713776534
4 Reactions
69 Replies
3K Views
Naitwa jenipha Nimesomea degree ya uhasibu chuoo kikuu cha Dar es salaam natafuta kazi naombeni msaada wenu 0713776534
2 Reactions
5 Replies
594 Views
Naomba kupata salary scale za "NECTAR" Naomba uelewe hilo neno NECTAR. Asante
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wakuu! Suala ni hili wakuu, Nina online radio ambayo inasikilizwa kwa kiasi hapa nchini na zaidi ni nchi za nje kama Misri, Algeria, Germany, Finland, nk. Hali iliyopelekea watu wa nje...
16 Reactions
95 Replies
4K Views
Kwajina naitwa Saiid Omaly Ngulupy Nina uzoefu wa udereva wa miaaka minne .nimkazi wa chamzi .ninauzoefu wa gari zifuatazo garindogo ya aina yeyote .na kinzia tani moja ady 20 kwa gari za mizigo...
2 Reactions
4 Replies
369 Views
Anahitajika mwalimu wa kindergarten na Daycare kwa mawasiliano zaidi 0749928289
2 Reactions
2 Replies
414 Views
Closed
0 Reactions
1 Replies
323 Views
Back
Top Bottom