Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Baadhi ya kazi ndogo ndogo zinazoweza kupa connection kubwa ukatoka kimaisha kirahisi Hizi kazi zaweza onekana ndogo na mshahara mdogo lakini ukiwa mwaminifu sana na kufanya zaidi ya kazi...
7 Reactions
21 Replies
1K Views
Habari zenu Wakuu Niende moja kwa moja kwenye mada husika Mimi ni mwanafunzi wa Chuo kikuu cha Dar es salaam, Mwalimu Nyerere Main Campus.Ninaomba msaada wa kupata eneo la kufanyia mafunzo kwa...
2 Reactions
13 Replies
954 Views
HOD: Customer Care Operations Aggregate function: Commercial Business Area: Local Commercial Operations Posting Country: Tanzania, United Republic of Full Time / Part Time: Full Time Contract...
0 Reactions
0 Replies
427 Views
Marketing Manager Background DCB Commercial Bank Plc is a fully-fledged retail and commercial bank in Tanzania. The bank offers banking services to Individuals, Microfinance, Small to Medium...
0 Reactions
0 Replies
373 Views
Nina mdogo wangu yupo chuo mwaka wa pili anasoma accounts, nilikuwa nauliza sehemu na nzuri za kufanya field.
2 Reactions
5 Replies
659 Views
Join Kilombero Sugar Company Limited: Your Career Awaits in Tanzania! Introduction Are you ready to sweeten your career with a leading name in the sugar industry? Kilombero Sugar Company Limited...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
VACANCY ADVERTISEMENT Hand in Hand Eastern Africa-Tanzania (HIHEA TZ) is a Non-Governmental Organization (NGO) registered in Tanzania since 2018 with a mandate to operate in the country, and part...
1 Reactions
0 Replies
475 Views
Receptionist Mega Beverages Limited Arusha Mega Beverages is one of Tanzania’s leading and truly homegrown alcoholic beverages companies. The home of K-Vant Premium Spirit, Asilia Vodka, and many...
2 Reactions
0 Replies
419 Views
Juzi tarehe 06 march 2025, Bugando medical centre walitangaza nafasi za ajira kwa kada mbali mbali za afya ila tangazo halikuainisha maombi yatumwe kwa njia gani yani mfano kwa online portal,Email...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
1. Wale wakongwe wa ofisi -Wakikuchukia utachukia kazi. Wakikupenda utafurahia. 2. Sekretari - Huyu ni shushu wa bosi. Kila kitu cha hapo ofisini kinamfikia bosi direct. 3. Wafanya usafi - Hawa...
21 Reactions
51 Replies
3K Views
Habari zenu wote? ni matumaini yangu wote ni wazima. Naomba niende moja kwa moja kwenye dhumuni kuu Mimi kijana wa kiume umri miaka 30, mwenyeji wa Dar es salaam ila kwa sasa nimeamishia makazi...
11 Reactions
13 Replies
2K Views
Tunatafuta mtaalamu mwenye ujuzi katika Graphic Design na Digital Marketing kwa ajili ya kujiunga na timu yetu. Mtu anayefaa kwa nafasi hii anatakiwa kuwa mbunifu, mwenye uelewa mzuri wa masoko ya...
4 Reactions
7 Replies
936 Views
Habari, Sekretarieti ya ajira mmeaminiwa kutangaza na kuendesha mchakato wa ajira kwa haki na usawa ili watanzania tuombe ajira za umma kupitia taasisi yenu. Mnapokuwa mnaweka vigezo ambavyo...
9 Reactions
23 Replies
2K Views
Ninaye rafiki yangu ame download dating website templates sio app, sasa anahitaji mtu wa kumsadia kufanya installation maana tayari amesha sajili domain name na hosting ameshalipia. Just...
4 Reactions
16 Replies
896 Views
Habari zenu wana JF. Mimi ni binti wa kitanzania mwenye umri wa miaka Ishirini na tatu. Ni fresh graduate mwenye shahada ya Uchumi yaani (BA in Economics) kutoka University of Dar es salaam...
10 Reactions
24 Replies
1K Views
Wakuu habari zenu Kazi nayofanya nimezunguka nimeishi miji kadhaa kila baada ya mwaka nahamishwa, kwa sasa nipo Njombe mwaka huu nimefikia vigezo vya kupata kituo cha kudumu, nafasi zilizo wazi...
6 Reactions
48 Replies
2K Views
Habari Wadai, Mimi naomba nende Moja Kwa Moja ktk mada yangu, Kuna hii kero ya walimu wilaya kilwa mkoani Lindi kucheleweshewa kulipwa nauli zao za likizo Kwa wakati, inafikia hatua hadi mwalimu...
2 Reactions
4 Replies
744 Views
Ndugu wanajukwaa, natumaini mnaendelea vizuri katika harakati za hapa na pale za kujikwamua kiuchumi. Bila kuwachosha niende moja kwa moja kwenye hoja husika: Siku za nyuma hivi karibuni Tume...
13 Reactions
167 Replies
27K Views
Wakuu samahani naomba kujuzwa kuhusu ajira zinazotangazwa na MDA & LGAs. Hapa kwenye 'MDA' mara nyingi naona hizi taasisi zinazojitegemea zinatangaza nafasi za kazi zenyewe mfano TRA, TANAPA...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Wakubwa habarini za majukumu, na pia nawapa hongera katika kipindi hiki cha MFUNGO MTAKATIFU( ISLAM& ROMAN CATHOLIC) Mimi ni kijana( me) 25 OLD ambaye nimehitimu ngazi ya diploma in clinical...
4 Reactions
29 Replies
1K Views
Back
Top Bottom