Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Nitangulize salamu zangu kwenu wapendwa Kijana Miaka 21 Me Elimu kidato cha sita Eneo Dar Ninahitaji msaada wenu wa kazi wakuu ninateseka sana mtaani sijui nianzie wapi Inafikia hatua nakata...
2 Reactions
20 Replies
977 Views
Habari Wana JF, Nauliza mshahara wa clinical officers 2 hua nishingapi kwa sasaivi kwa mwajiriwa wa serikalini
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Wadau wanauliza kama kuna mtu anaufaham na osha na zile course zake na nafasi ya upatikanaji wa ajira baada ya kusoma zile course.
2 Reactions
7 Replies
3K Views
Wadau, Ivi fani ya ku operate mitambo mikubwa kama bulldozer, grader, forklift, na mingine HEAVY EQUIPMENT inalipa vizuri? Chuo chao kipo wapi, mwenye kujua utamu wa fani hii anisaidie tafadhali...
2 Reactions
13 Replies
6K Views
habarini wapendwa leo katika pitabpita zangu nikakutana na mikopo ya bajaji na bodaboda . aaah hapana nikauli mkopo wa bajaji nikaambiwa kianzio laki 7 (700000) rejesho kwa siku 27000 na ni...
4 Reactions
17 Replies
1K Views
Wakubwa nilikua naomba kufahamu mshahara anaopatiwa data scientist kwa upande wa goverment na private sector?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Tafadhali eti mshahara wa engineer wa halmashaur kiasi gani?
0 Reactions
42 Replies
28K Views
Naomba msaada wenu nijiandae na maswali gani,nimeitwa kwa mara ya kwanza na UTUMISHI,ni post ya MHANDISI MITAMBO DARAJA LA II (MECHANICAL ENGINEER) TEMESA Msaada wenu nipitie wapi job...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA Kumb. Na EA.7/96/01/L/144 17 Juni, 2021 TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI Katibu wa Sekretarieti ya Ajira...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Habari wakuu? Ndugu zangu mimi naishi Misugusugu Kibaha, hivi karibuni nimeanza kuona dalili za ukame kwenye kampuni ninayofanya kazi, jana nikaona niombe ruhusa kazini ili niingie zangu mtaani...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
St. Augustine University of Tanzania The St. Augustine University of Tanzania (SAUT) is a private higher learning institution owned by the Tanzania Episcopal Conference (TEC) with a vision of...
0 Reactions
0 Replies
634 Views
Wakuu Mimi ni kijana mwenye miaka 25 naomba kazi hata ya saidia fundi nipo mkuyuni jijini mwanza Natanguliza shukrani.
3 Reactions
14 Replies
692 Views
Wakuu nimesomea political science and public administration specialized in international relations and diplomacy. Natafuta nafasi za internship; nafikilia JNICC. Je utaratibu wa kuomba internship...
2 Reactions
1 Replies
359 Views
Background The Media Council of Tanzania (MCT) is an independent, voluntary and self-regulatory body with the objective of promoting freedom of the media and ensuring the highest professional...
0 Reactions
0 Replies
367 Views
Sheria ya kazi inampa haki mfanyakazi kwenda likizo ya siku 28 kila baada ya miezi 12 ya kazi. Na endapo mfanyakazi ataachishwa kazi akiwa na likizo ambayo hakwenda kwa sababa maombi ya likizo...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari ndugu zangu? Natumaini mko salama na wazima wa afya. Samahani naomba kuuliza jambo ninechaguliwa katika online written interview za utumishi lakini kituo nilichopangiwa ni mkoa mwingine...
0 Reactions
7 Replies
897 Views
Habari zenu Wana jamiiforum,nilikua ninashida kama kunafundi anaweza akanishika mkoni kama saidia fundi au kama Kuna mtu anaweza akanielekeza sehemu ya kupata vibarua hivyo kwa mkoa wa dar es...
6 Reactions
7 Replies
713 Views
Kwa majina naitwa kelvin ramson joseph kama kuna mtu ana connection ya kazi naomba anisaidie nipo dar es salaam nina degree ya bachelor of adult education with community education kama kuna...
2 Reactions
0 Replies
266 Views
Habari Wana JF naomba kuuliza . Je? Kunauwezekano wakubadili fani baada ya kuajiriwa ( mfano nimeajiriwa katika wizara ya mambo ya ndani katika fani ya electrical na badae nikaenda kuongeza elimu...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
IT’S NOT JUST AN OPPORTUNITY TO GET ON THE CAREER LADDER. IT’S AN OPPORTUNITY TO HELP THE WORLD GET ON TOGETHER Why do people call us the world’s most international company? Is it because we...
0 Reactions
3 Replies
448 Views
Back
Top Bottom