April26
JF-Expert Member
- Jul 14, 2020
- 1,403
- 2,119
Habari wakuu, nauliza kama kuna mtu yeyote ambae amewahi kutumia platform ya Linkedin kupata kazi.
Nauliza kwa sababu ni app ambayo ndiyo hasa inabeba jukumu la kutangaza na kutafutia kazi.
Watu wana jifadavua elimu zao kwa uwazi kwa lengo la kupata au kutafuta kazi.
So naomba kufahamu kama kuna shahidi wa moja kwa moja ambae amefanikiwa either kwa kutuma maombi au kwa kufuatwa na kampuni kutokana na kuona ana sifa wanazotaka.
Ahsante.