kwa wale wahitimu wa degree/advanced diploma Records Management,tuma resume kwenye e-mail kkasi2014@gmail.com,wahi nafasi ni chache.Ni nafasi ya kufundisha(MWALIMU),tafadhali tuma kama umemaliza kozi hiyo kwani anahitajika aliyemaliza hiyo kozi.Chuo ni Msoma utalii college Iringa branch.