kamsongole
Senior Member
- Apr 20, 2013
- 111
- 15
Jamani kama kuna anayefahamu kuhusu hawa LAPF atujuze maana ni kitambo tangu ile interview ya duce. au walishaita? msaada wapendwa.

Bado mkuu, subira yavuta kheri