kinywele ki1
Senior Member
- Jan 18, 2014
- 119
- 23
Wauzaji wengi walioajiriwa katika biashara wengi wamekuwa wadokozi wa pesa wengine wanahonga wanawake hadi kupelekea hasara kwa mwenye duka. Mi naona kama mtu unauwezo wa kukaa mwenyewe kusimamia game wenye biashara wangepata hela sana.mfano mim kunakijana nilimtoa kijijini aje aniuzie duka langu lakin kanitia shoti sana kala hela kanunua sim za bei na kwa wasichana usiseme nimemrudisha kwao nimeamua kukaa mwenyewe mana nilikuwa nimesafir