Future president
Senior Member
- Dec 30, 2013
- 144
- 39
Mi nashangaa hawa sekretariat ya ajira,wanatoa matangazo ya kazi na sharti la mtu kama ni mwajiriwa wa taasisi ya serikali lazima barua yake ya maombi ya kazi ipitie kwa muajiri wa taasisi anayotoka,sasa baadhi hawataki kupitisha barua za watu wanaomba kazi na kuanza kujenga uadui na mfanyakazi,na mtu anaamua kuandika bila kupitisha kwa muajiri,mnamwita interview anashinda hamumpi kazi sababu hakupitisha barua kwa muajiri wake,anawaeleza sababu,kwamba muajiri amekataa,kwa lengo labda mtachukua hatua wapi!! hili lipo hasa taasisi za elimu yaani vyuo vikuu,hakika mkiendelea tutawachana live