wauzaji wanatia hasara katika biashara

wauzaji wanatia hasara katika biashara

kinywele ki1

Senior Member
Joined
Jan 18, 2014
Posts
119
Reaction score
23
Wauzaji wengi walioajiriwa katika biashara wengi wamekuwa wadokozi wa pesa wengine wanahonga wanawake hadi kupelekea hasara kwa mwenye duka. Mi naona kama mtu unauwezo wa kukaa mwenyewe kusimamia game wenye biashara wangepata hela sana.mfano mim kunakijana nilimtoa kijijini aje aniuzie duka langu lakin kanitia shoti sama kala hela kanunua sim za bei wa kwa wasichana usiseme nimemrudisha kwao nimeamua kukaa mwenyewe mana nikikuwa nimesafir
 
Pole sana kama mshahala ulikuwa unampa mdogo lazma akuibe.manake maisha ya mjin bila pesa hayaend ndugu yangu
 
Back
Top Bottom