makandomende
Member
- Sep 2, 2013
- 82
- 43
Wadau mwenye taarifa kuhusu nafasi za internal investigation officer tafadhali tujuzane, maana ni muda sasa tangu watangaze na tuombe
Nawasilisha
Nawasilisha
usaili ulifanyika msimbazi center 13 december then oral ilifanyika pale ofisi kuu za mamlaka dsm!Wadau mwenye taarifa kuhusu nafasi za internal investigation officer tafadhali tujuzane, maana ni muda sasa tangu watangaze na tuombe
Nawasilisha